Kangi Lugola: Video ya Gwajima ni ya kutengeneza, na tumeshakamata watu wawili

Vipi tukisema iyo picha ya video uliyotuma ndio imeeditiwa....video hajasambaza yeye Bali imevujishwa
 
Shangaa hata wewe, starehe apate mwingine, halafu mpopoma eti imeunganishwa , hawajui wazinzi huyu
Kuna mtu aliuliza kichwa kilichoungwa kinapiga denda ndio G au kiwiliwili kinachopiga mauno ? Kipi cha kwake kichwa au kiwiliwili?
 
Wabongo kwa kujitoa ufahamu wako vizuri. Hivi kweli mtu na akili zako unaamua kusambaza video ya kijinga kama hii?
Mbona inaonekana wazi kabisa imetengenezwa tena mtengenezaji wake hajui.

Natamani sana huyu alieanza kuisambaza apigwe nyundo ya maana ili iwe fundisho. Sio kila kitu unchotumiwa unashare tu vingine bandia.
Angalia picha sehem jamaa alikoungia iyo sura ya Gwajima,View attachment 1100031

Kazi kwelikweli
 
PALE ASKOFU ANAPOWEZA KUTOFAUTISHA PORN OG NA FAKE! INA MAANA ANAZIJUA OG NA NI MPENZI MZURI WA HAYO MAKITU.
 
Mbona yeye kaikubali hii clip ila kasema ni ya zamani na ilikuwa ni private pic kwa nyumbani tu kifamilia, aliyoikataa(strangely though) ni ile anamgegeda mtoto watu.
Sasa unakataa vipi video clip ambayo muhusika ameikiri kuwa ni yeye au ndiyo bora kutetea tu? Inatumika nguvu kubwa sana kumtetea jambo linalosababisha watu wazidi kuamini ya kuwa ni yeye.
Wabongo kwa kujitoa ufahamu wako vizuri. Hivi kweli mtu na akili zako unaamua kusambaza video ya kijinga kama hii?
Mbona inaonekana wazi kabisa imetengenezwa tena mtengenezaji wake hajui.

Natamani sana huyu alieanza kuisambaza apigwe nyundo ya maana ili iwe fundisho. Sio kila kitu unchotumiwa unashare tu vingine bandia.
Angalia picha sehem jamaa alikoungia iyo sura ya Gwajima,View attachment 1100031
 
Ndugu zangu katika kristo nawaslimu Sana!

Ni Takribani wiki mbili tangu kutokea kuvuja kwa Video ya ngono iliyomuhusisha askofu mkuu wa makanisa ya ufufuo na Uzima ndugu Josephati Gwajima,sote tunakumbuka nnchii ilijaa taharuki kubwa baada ya video hii ikimuhusisha moja kwa moja mtumishi wa kiroho.

Kwa Tanzania Matukio kama haya yamekuwa ni kawaida lakini mara nyingi yamekuwa yakihusisha wasani mfano Wema Sepetu,Diamond,Nandy, Amber Ruty pamoja na mume wake, wote hawa walichukuliwa hatua kali na wengine mpaka leo bado wapo na kesi mahakamani,lakini kwa viongozi wakiroho imekuwa ni mara ya kwanza kuvuja kwa Video ya namna hii tena ikimuhusisha Askofu mkuu wa makanisa ya ufufuo na uzima,lakini pia vile vile sio mara ya kwanza Kwa kiongozi huyu wakiroho kuhusishwa na matukio ya uzinzi utambuka alishawahi kuhusishwa na tukio la uzinzi lililo muhusisha aliyekuwa mke wa Emanueli Mbasha(Flora Mbasha).

Tukio la uzinzi wa Gwajima nimezimwa katika hali yakumdhihaki Mwenyezi Mungu,Mimi Kessy Augustino natambua Hatari itakayonikabili mara baada yakwenda kinyume na Jeshi la polisi,kinyume na waziri wa mambo ya ndani,kinyume na askofu Kakobe na waumini wote wa makanisa ya ufufuo na uzima wanaomdhihaki Mungu kwakuudanganya Ulimwengu na kuudharaulisha ukristo ,kuuaminisha umma kuwa video ile imetengenzwa huenda nikawindwa au hata kuangamizwa kwa kuusema ukweli,huenda maisha yangu yatakuwa hatarini lakini naamini Mungu aliyewalinda Danieli,meshaki na Aberinego Atanilinda pia wote tuseme AMEEN KUBWA.

KWANINI TUNASEMA VIDEO HAIJATENGENEZWA

Ndugu zangu katika karne hii ya 21 bado haijawezekana kuedit video kama ambavyo tunaaminishwa na watetezi wa Gwajima.Mimi natoa changamoto, ile video kama imeeditiwa bhasi tuletewe original yake na kama hilo litashindikana bhasi wamuedit mtu mwingine kwenye hiyo hiyo video, hilo likiwezekana bhasi nitaomba waumini wa kanisa la ufufuo na uzima wanipige mawe hadharani mpaka nifariki dunia kama hilo pia likiwa gumu bhasi nitaomba nipigwe risasi hadharani.

UTETEZI WA KAKOBE NI DHIHAKA KWA MUNGU

Mtumishi wa Mungu kakobe wewe ni mtu mzima sana tena uliyedumu katika huduma kwa muda mrefu ni majuzi tu umetimiza miaka 30 yahuduma sikutegemea kabisa kama ungeweza kujihusisha na sakata hili zito,lakini umekuwa kiongozi wa kwanza kujitokeza hadharani kumtetea Gwajima naniwazi pia na wewe ulitizama video ile chafu ushaidi uliotupa umedhihirisha na wewe ulitenga muda kutizama Porno,kakobe alisikika akisema video ile ni feki kwakuwa binti hakuwa anaonekana!!Ndugu zangu utetezi huu ni batili ina maana leo hii ikarushwa muendelezo wa video binti akiwa anaonekana bhasi video itakuwa sahihi je unataka watanzania wafanye hivyo???Mchungaji kakobe kutumia madhabahu kutetea dhambi umemdhahaki Mungu unapaswa kutubu,pamoja na nayo tumsamehe mchungaji Kakobe umri umeshamtupa na technologia pia imemtupa mkono ni rahisi kuamini video ile imetengenezwa.

UTETEZI WA GWAJIMA DHIDI YA VIDEO YAKE YA NGONO NI KUUCHAFUA UKRISTO.
Sote tuliona na kusikia utetezi wa askofu Gwajima dhidi ya video yake chafu alisikika akisema anayeonekana kwenye video ni Baunsa na sio yeye,kwa akili za kawaida kauli hiyo haina ukweli wowote ubaunsa wa kwenye video ameuonaje wakati video inawaonyesha upande mmoja wa mtu ubavuni??kwanini askofu unatuona watanzania wajinga kiasi hichi lakini???Vilevile alituahidi siku ya Jumapili ungekuja Na ushahidi wakutosha dhidi ya mhusika aliyepanga mpango huo wakumchafua lakini jumapili akaishia kumualika kakobe asafishe dhambi yake, kama kweli haikuwa wewe Tulitegemea kuona vidhibitisho vyakutosha sana kama ambavyo alifanya kwa makonda kuwa ni kweli alipata zero,lakini tukio hili kubwa umeshindwa kabisa kabisa kujitetea .Kwanini Gwajima anataumia madhabau kusema uongo,Gwajima najua ukweli unaufahamu ilikuwa ni hekima nyingi kunyamaza au kukiri kosa nakuomba msamaha kwani wewe sio wa kwanza kufanya hicho kitendo,kusema uongo kupotosha umma kwakumchafua Kristo haikubaliki hata kidogo.

UTETEZI WA POLISI NI DHARAU KWA SERIKALI NA UBAGUZI KWA WATANZANIA

Tumeona jeshi la polisi lilikuwa kali kwa watangulizi wa Gwajima waliovujisha video chafu,wote tumemuona Wema Sepetu tabu alizopitia mara baada ya video yake akimkis(busu) mpenz wake hadharani kuvuja, alifunguliwa kesi na hadi leo bado inanguruma mahakamani,Kwa upande waGwajima imekuwa tofauti kabisa ingawaje kosa lake ni kubwa zaidi ila jeshi la polisi limekuwa upande wake?? kwanini jeshi la polisi litetee maovu kwanini isitende haki na kusimamia ukweli???Kwa utetezi huu jeshi la polisi imeidharau serikali inayosimamia na kutekeleza sheria zilizotungwa na Bunge letu tukufu,jeshi la polisi linakila sababu kuomba radhi kwa waTanzania

Napenda kutoa pongezi kwa taasisi zote za dini ikiwemo Roman katoliki,Waislamu pamoja na kanisa lakiludheri lakiinjili Tanznia(KKKT) Kwa kukaa kimya bila kutoa ufafanuzi wowote unaohusu video chafu ya Gwajima ukimya huu uliambatana na maombi makali yakumtaka Askofu Gwajima atubu dhambi hiyo na sio kuendelea kupotosha jamii,wamefanya busara kubwa kwani ukweli wanaujua na Hawakutaka kufanya dhihaka kwa Mungu muumba mbingu na nnchi,baada yakusema hayo naomba kwa heshima kubwa sote kwa pamoja Tumuombee Toba Askofu Gawajima na Mungu Awabariki sana.

Brazado,
Arusha.
Inafurahisha unapokuta bado tuna Wananchi wanaweza kusema kweli hata kama ni kwenda kinyume na mtazamo wa wengi bila kujali matokea, hii ndio aliosema Baba wa Taifa kusimamia ukweli hata kama you have to pay the price for doing so!!! Nakuunga mkono mtoa uzi.

Kumekuwa na maswali mengi sana kuhusu haya makanisa ya sasa ambapo waumini maskini wanajazana kwenye mabasi na kutembea kwa miguu kwenye jua kali kwenda kwenye ibada halafu wachungaji wakiendesha magari ya fahali kupindukia (eg Hummel etc) na wengine kuwa na mpaka ndege binafsi. Hawa wachungaji Maisha yao ni kama celebrity ye yote kwenye jamii yetu bila kujali kazi au tasnia ya shughuli yake ya kutafuta Maisha au kipato. Umetoa mifano ya wasanii kama Wema Sepetu, Diamond, nk ambao mtindo wa Maisha yao hatushangai sana kuweza kufanya vitendo vya kupiga video za ngono, lakini hawa pia hupenda Maisha ya juu kama magari ya fahari, majumba ya fahari, nguo za gharama, nk. Kwenye hili hawana tofauti kabisa na wachungaji wetu wa sasa. Ukiliona hili huwezi leo kushangaa kuona kujipiga picha chafu za ngono kwa mchungaji. Na inawezekana hilo ni moja tu, kama ukifanya uchunguzi wa Maisha binafsi ya hao "watumishi wa Mungu" hutaweza tofautisha na ma celebrity wengine wowote wanaopata kipato chao kwa "kumtumikia shetani". Hapo ndipo tulipo sasa kidunia na haswa Afrika.

Sijui kama akitokea mtu na hoja ya kusema makanisa haya yanatumika kunyonya maskini kuwatajirisha hawa wachungaji ili waishi Maisha ya raha za kupindukia na utajiri wa kupindukia, kama atakuwa amekosea!!!
Na kwa upande mwingine serikali zetu zimekuwa kimya kabisa kwenye hili, haya makanisa na wachungaji wake wamekuwa sio wa kuguswa kabisa hata kama watasambaza video za ngono, hii inaitwa selective justice au kwa Kiswahili upendeleo mbele ya sharia. Hoja ya video kuwa sio kweli(edited) ni upuuzi uliopitiliza kiasi haufai hata kuutaja kama utetezi.

Naomba tukubaliana WaTanzania kuwa mtu mzima kama kakosea na tunaamua kumezea hilo sio kosa kwetu kupanga ni kuchagua na tunaweza kufunika kombe mwanaharamu akapita. Lakini sio kutufanya mitozeni eti kwa utetezi wa video editing. Kwa Maisha ya ki celebrity ya hawa "watumishi wa Mungu" hilo la video ya ngono sio jambo la kushangaza. Wanasema ukikuta anabweka basi jua huyo atakuwa Mbwa wala si paka. Sema ndio vile tu....
 
Huwezi kushindana na Tekinolojia, kama imekuacha nyuma kazana kuikimbilia.

Kingine ni kwamba wewe huna uwezo wa kuhukumu. Wataalamu kama wamesema that is an edited video basi kama huwaamini anzisha kesi yako kuwa hauridhishwi na majibu hayo.

Lakini kuja huku na gazeti lako ndugu, you are just wasting your time and ours too.

edited wapi?

kichwa kilikuwa kinapiga denda

kiwiliwili kilikuwa kina nanilii


ebu waza tena
 
kumbe wewe jamaa ni fala kiasi hicho, pumbavu kabisa, eti ukristo umezalilishwa, fala sana wewe unajua maana ya kuzalilisha ukristo wewe?, fanya mambo mengine ile usihusihe ukiristo kwenye mambo yako binafisi, kama gwajima alikuwa basha wako yaishie huko huko!, kuliko kutuletea upuuzi wako hapa wa kwamba ukirsto umezalilishwa, yaani ugombane na mtu huko hafu uje kuleta ujinga huku kwa keeneza ukiristo kuchafuliwa!,na lengo lako limeshindwa!, achana na mambo ya dini, fanya kazi hudumia watu wako wa karibu achana na mabo ya udini na ukiristo

hata wewe una udhalilisha ukristo kwa hii response yako

WWJD?

Ingekuwa Yesu ndio anasoma waraka huu WHAT WOULD JESUS DO?(angefanya nini?)

asingemuita mtu fala
 
"Polisi wamethibitisha video ya Gwajima ni ya kutengeneza. Tayari watu watatu (wanaotuhumiwa waliitengeneza), wanashikiliwa na Jeshi la polisi" KANGI LUGOLA - WAZIRI WA MAMBO YA NDANI.
Sasa mnataka tubishane nini? Kama hutaki hama hilo kanisa.

Lugola ana kesi na CAG kwanza alikurupuka, na may be yuko uchi

kama kwa akili zako timamu umemumini Lugola, kuna walakini hata watoto umebambikiziwa
 
Kusema kwamba karne hii ya 21 hakuna teknolojia ya kuedit vile video ni kujidhihirisha kwamba pengine upo nyuma sana katika masuala ya ufuatiliaji wa maendeleo ya teknolojia duniani? Siwezi kusema ile ni video ya kweli au lah maana ukweli anaujua mwenyewe ambao amesema sio yeye hata kama kaamua kuudanganya umma.Lakini kwa amendeleo ya teknolojia ya sasa na aina ya maadui wa level za gwajima naweza kusema uenda ni kweli ile ni video ya kughushi.Refer deep fake video na aftereffects za marvel. Pili pia nakataa kwamba kwa hili wamefanya double standards kwa sababu eti pengine kisa Gwajima ni Askofu mkubwa hapana katika kila sakata lolote lihusulo video zilizo nje ya maadili uanza uchunguzi kwanza kabla ya mtuhumiwa kuitwa na hakuna hata mmoja aliyeulizwa hizo za awali akakana kwamba sio zao..Lakini pia ilishawahi kuvujishwa edit video porno ya Mama mzazi wa wema sepetu naye pia hakuitwa .Tatu, napingana na wewe kusema videpo hiyo inauchafua ukristo kivyovyote kwani kuchafuka kwa mtu mmoja hata kama ingekuwa kweli hakubatilishi chochote katika dini kwani zilishawahi kuzagaa kashfa kadhaa wa kadha kumuhusu shekhe mkuu wa mkoa wa Dar kuhusu kufanya matendo machafu mengine hadi kuwaingilia kinyume na maumbile wake za watu (Lakini hiyo haikutafsirika kama uchafu wa uislamu wote).

sio editing ya kiwango kile na walioendelea wana edit sura tu!..au kupachika sura

GWAJIMA HANA MAADUI PEKE YAKE BANA...ACHENI HIZO TUNGEZIONA KILA SIKU MTAANI KWA WATU MBALIMBALI!!!!
 
Kuna vitu fulani si vya kuvishikia bango kiasi hicho. Haviathiri hata mlo wangu. Niko mbali mbugani, hata Gwajima simjui. Wanasema video iko edited ninakomalia kwamba video ni halisi utadhani dada yangu ndio alikuwa na Gwajima.
 
Hakuna ukristo uliodhalilishwa hapo! Kristo anasimama mwenyewe wala hategemei kuchafuliwa na tabia za watu

We utakuwa Mbasha wewe! Nenda na binti yako kapige naye picha chumba cha hotel na safari hii mpige mkiwa bafuni!

Hata kama alikuwa kweli ni yeye , anaweza kutubu na kumrudia Mungu

We nani hadi uhukumu?

Papa wa sasa kanisa Catholic alishakuwa mtu wa club sana na tena baunsa. Lakini alimgeukia Mungu na sasa anamtumikia Yesu Kristo
Hili nalo ni punda la gwajjma bila shaka
 
kumbe wewe jamaa ni fala kiasi hicho, pumbavu kabisa, eti ukristo umezalilishwa, fala sana wewe unajua maana ya kuzalilisha ukristo wewe?, fanya mambo mengine ile usihusihe ukiristo kwenye mambo yako binafisi, kama gwajima alikuwa basha wako yaishie huko huko!, kuliko kutuletea upuuzi wako hapa wa kwamba ukirsto umezalilishwa, yaani ugombane na mtu huko hafu uje kuleta ujinga huku kwa keeneza ukiristo kuchafuliwa!,na lengo lako limeshindwa!, achana na mambo ya dini, fanya kazi hudumia watu wako wa karibu achana na mabo ya udini na ukiristo
Nmefiria sana ulichokiandika nmewaza kuwa yawezekana ubongo wako ulipandikizwa na ubongo Wa nguruwe
 
Mkuu, umeandika kitu cha ajabu.

Am an expert na nataka kukuhakikishia kuwa ile video NI REAL, SIO FAKE.

Aje expert hapa tubishane kwa hoja za kitaalamu na sio siasa za kusafishana halafu mpime hoja zetu.

Narudia, as an expert - VIDEO YA GWAJIMA NI YA KWELI NA YEYOTE ALIYETUMIKA HUKO SERIKALINI KUMSAFISHA GWAJIMA ANA DHARAU KUBWA KWA WATANZANIA.

Mwanzisha mada, umeleza nilichoandika awali ingawa kwa angle yako, unastahili kupongezwa si kudhihakiwa.
Kama wewe ni expert nenda katumie huo uexpert kujiingizia kipato kwa faida ya familia yako na si kubishana mitandaoni kwa mambo yasio na msaada wowote kwako.
 
Mkuu, umeandika kitu cha ajabu.

Am an expert na nataka kukuhakikishia kuwa ile video NI REAL, SIO FAKE.

Aje expert hapa tubishane kwa hoja za kitaalamu na sio siasa za kusafishana halafu mpime hoja zetu.

Narudia, as an expert - VIDEO YA GWAJIMA NI YA KWELI NA YEYOTE ALIYETUMIKA HUKO SERIKALINI KUMSAFISHA GWAJIMA ANA DHARAU KUBWA KWA WATANZANIA.

Mwanzisha mada, umeleza nilichoandika awali ingawa kwa angle yako, unastahili kupongezwa si kudhihakiwa.
OOOKKKAAAYYYY Ni wazi kuwa aliekuwa ana rekodiwa aidha ni Gwajima au Sie video inathibitisha kwamba alitambua kabisa ana rekodiwa hasa pale alipojaribu kufunika camera kwa mkono wake na uso wake kuuelekeza wazi kwenye camera :

Swali 1.kama ni Gwajima je alikuwa na lengo gani ? na ili kumuonesha nani ? ili apate nini baada ya kazi hiyo alipwe ?

Swali 2. Tuchukulie kwamba ni Gwajima, Umjuavyo huyu askofu , ni kweli kila binadamu hajakamilika, Je ni mtu wa UJINGA KIASI HICHO ? Hata kama alilewa na mapenzi kupitiliza anaweza kufanya ujinga huo kwa level hiyo ?

Swali 3. Wewe mtoa mada ni nini nia yako halisi, ikithibitika kuwa ni Gwajima kweli utafaidika na nini kwa hilo ? Na ikiwa tofauti utapoteza nini ?

Labda uniambie Gwajima kwa kushirikiana na serikali ya Tanzania wamecheza Movie na wote askofu na serikali plus waziri wakaamua kuutupilia mbali hadhi zao zote ? ? lakini kwa faida gani ? na lengo lipi.

TUNAJADILI UJINGA MTUPU HAKUNA LOGIC HAPA AKILI FUPI TU
 
Haya ya pili imenifanya nipatwe na kichefuchefu nisiendelea kusoma. Kama jambo ulijui kaa kimya. Wakuletee original yake au wamuedit mtu mwingine n.k ili iweje? Wewe ni nani hadi waangaike kukuthibitishia? Iwe ni kweli au siyo kweli ina tija gani kwa maendeleo yako binafisi, familia yako, ukoo wako, mtaa wako, kata, wilaya, mkoa na hata taifa kwa ujumla?. Tufanyeni kazi majungu/udaku n,k haviliwi, siyo nguo eti tuvae wala malazi ktk maisha yetu.
Mtu akikosa mrejesheni kwa upole mungu hadhihakiwi utamkosea mungu kutetea usichokijua kama kilikuwepo au hakikuwepo mwenye ukweli wake ni mungu wake na wa pili ni mkewe anayeufahamu mgongo wa mumewe na makovu yake huyo anaweza kuthibitisha juu ya picha hiyo sio mwingine yeyote
 
Back
Top Bottom