Kangi Lugola: Polisi hawana mafunzo ndo maana wanaibuka na tochi tokea vichakani

MeinKempf

JF-Expert Member
Jun 11, 2013
11,094
7,225
Mh. Kangi Lugola amesisitiza kuwa kuna umuhimu wa jeshi la Polisi kuboresha mafunzo na posho za askari wetu ili kuboresha utendaji wao.

Amesema kutokana na kukosa mafunzo stahiki ya usalama barabarani (Traffic training) kwani wanapigiwa tu simu ya kuwa trafic ndio sababu wanaibuka toka machakani na tochi na kisha kuvamia gari na kulipiga cheti.

Pia askari wapewe mafunzo ya namna bora ya kuandaa maelezo ya pale kaunta wakipokea maelezo sababu polisi wanapata tabu kutofautisha kati ya kosa la jinai na kosa lisilo la jinai.

Kuna mafunzo ya CRO... hii itasaidia kuandaa mashitaka vizuri.

Msikilize vizuri mh Kangi Lugola akitoa mchango wake

 
Hakuna kitu kipya alichoongea.

Ni sawa mtu aseme 2×2=4 tuanze kumsifia
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Wazee wa Kinondoni Makaburini washafanya yao!!
Ni mwendo wa kufukua tu
 
Back
Top Bottom