Kangi Lugola: Ni marufuku kuanzisha mijadala juu ya kutekwa kwa Billionea Mo Dewji

Kelele mingi zinaleta matunda kama watanzania tungekaa kimya kipindi roma ametekwa wasingepatikana tena...
 
Wewe ukiambiwa mwanaume mwingine aje aendeshe familia yako utakubali?
Asilimia ngapi ya bajeti tunawategemea wao, mwanaume mwenye familia yake anayesaidiwa vyakula, madawa, maji, vyoo, miundombinu mingine na vitu vingine kibao naye anaweza sema ni mwanaume hadi ashindwe kuwaomba wamsaidie kutafuta mwanae aliyepotea? Haya ni maajabu.
 
Matamko ya viongozi ya namna hii yana lenga nini hasa,au ndiyo kutengeneza hofu kwenye jamii
 
Hizi ndio story za "alfulela ulela, kalumekenge amekataa kwenda shule, bin-sultan, abunuasi na essopoooo". Yaani mtu kachukuliwa kienyeji tu na watu waache kujadiri?
 
Kiu huwa haikatiki hadi unywe maji. Kiu ya ya watu ya kujua alipo au kupatikana kwake haitakatika hadi hilo lifanyike. Mbaya zaidi kukaa kimya kwa serikali kunafanya kuzuke kwa maswali mengi na pia majibu ambayo yanaweza yakawa siyo sahihi. Kukosekana kwa taarifa sahihi kutaleta taarifa mbadala ambazo zinaweza kuwa siyo sahihi.
 
Sasa wanaogopa kitu gani jamani kama wao sio wahusika na hayo maovu??? 🙆🏿‍♂👆🏿😷😱😇
 
Huenda intelijensia yetu imegundua kuwa kwa kila mjadala wa kuhusu MO utavyoanzishwa ndiyo watekaji wanampeleka mbali zaidi kwa hiyo ikisitishwa watabaki palepale na hivyo watawakamata na kumuokoa MO hebu tukubaliane na waziri ili apatikane
Swali tukiacha kujadili tutapataje taarifa?
 
Ndio maana wamemtuma wema sepetu kuachia picha za ajabu ajabu ili kututoa katika hoja ya msingi
 
Back
Top Bottom