Sikuizi hata ile mishati yake yenye bendera ya taifa haivai, hivi bado anatembea na katiba. Zitto sums it all " tumekabidhi nchi kwa ....................."
yaani ukimuona tu kwa macho kabla hata hajatoa yale ma wito yake utagundua kbs jamaa ni kilaza fulani...siijui cv yake ila nashawisha kuamini kwamba itakuwa ni nyepesi mnoo!.
ktk mawaziri awamu ya 5 atakuwa anaongoza kwakuwa na shallow cv.