Kunyoshea vidole wengine wakati nayeye ni mchafu kunapunguza kasi.Tokea amtusi CAG ndani ya bunge kwa kutegemea kuungwa mkono na chama chake na baadae wakamgeuka huyu jamaa amekuwa haonekani sana.
Kabla ya hapo alikuwa ndie Waziri anayeongoza kwa kuitisha press conference kila uchao alikuwa hakauki kwenye media na vikiki uchwara.
Baada ya kujulikana alikuwa akitetea ufisadi wa sare za Polisi ambao uliozibuliwa na Rais mwenyewe jamaa amekuwa mpole ile kasi na mikwara imepungua hafla kwani ulimi wake mwenyewe ndio umemnyoosha.
WashambaSikuizi hata ile mishati yake yenye bendera ya taifa haivai, hivi bado anatembea na katiba. Zitto sums it all " tumekabidhi nchi kwa ....................."
Tokea amtusi CAG ndani ya bunge kwa kutegemea kuungwa mkono na chama chake na baadae wakamgeuka huyu jamaa amekuwa haonekani sana.
Kabla ya hapo alikuwa ndie Waziri anayeongoza kwa kuitisha press conference kila uchao alikuwa hakauki kwenye media na vikiki uchwara.
Baada ya kujulikana alikuwa akitetea ufisadi wa sare za Polisi ambao ulisemwa na Rais mwenyewe jamaa amekuwa mpole ile kasi na mikwara imepungua hafla kwani ulimi wake mwenyewe ndio umemnyoosha.
Washamba
[/QUOTE
na walimbukeni!😷
[emoji1787]Aendelee kujificha ........akitoka tu swali letu la kwanza ni mbona havui nguo......
HahahahahaaaaJaribuni kuiba au kuuza ngada ndio mtajua amepoa au bado wa moto. Nyie mnataka akimbie kimbie bila kuwa na ishu
Jaribuni kuiba au kuuza ngada ndio mtajua amepoa au bado wa moto. Nyie mnataka akimbie kimbie bila kuwa na ishu