mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 81,108
- 106,613
hahaha na kwelisasa hivi lugola anamsalimia kila mtu kwa heshima hadi kuku anamuambia "habari za kushinda kuku"
Cheo dhamanasasa hivi lugola anamsalimia kila mtu kwa heshima hadi kuku anamuambia "habari za kushinda kuku"
Mkuu umenichekesha sanaSi hivyo tu, iko siku watasema Lissu hakupigwa risasi bali alishambuliwa na vitu vyenye ncha kali.
Mkuu, nakumbuka maganda ya risasi walikabidhiwa !!, au nayenyewe hawayaamini ?, majeraha yote aliyo nayo hayaoneshi kwamba yametokana na risasi ?.Si hivyo tu, iko siku watasema Lissu hakupigwa risasi bali alishambuliwa na vitu vyenye ncha kali.
Hivi issue kama ipo kama unavyo sema basi serikari haitimizi wajibu wake.Ishu ya Tundu Lissu.. haiitaji elimu ya chuo kikuu kujua kama ni inside job ya chadema..
Jiulize swali jepesi tu, why dereva anafichwa asihojiwe.. dereva kakimbizwa hadi nje ya nchi bila sababu za msingi
Ishu ya tundu lissu.. haiitaji elimu ya chuo kikuu kujua kama ni inside job ya chadema..
Jiulize swali jepesi tu, why dereva anafichwa asihojiwe.. dereva kakimbizwa hadi nje ya nchi bila sababu za msingi
Hivi issue kama ipo kama unavyo sema basi serikari haitimizi wajibu wake.
Unataka kuniambia serikali imehararisha CHADEMA wauane?
Sent using Jamii Forums mobile app