Kangi Lugola: Jengo la Tundu Lissu na majirani zake pamoja na Naibu Spika hayajawai kufungwa CCTV camera

Si hivyo tu, iko siku watasema Lissu hakupigwa risasi bali alishambuliwa na vitu vyenye ncha kali.
Mkuu, nakumbuka maganda ya risasi walikabidhiwa !!, au nayenyewe hawayaamini ?, majeraha yote aliyo nayo hayaoneshi kwamba yametokana na risasi ?.
 
Habari wadau nimeona ni igusie hii,

Tundu Lissu kupigwa risasi na kukimbilia kusema kuwa wahusika ni serekali sababu palikuwa hamna kamera za CCTV kwa watu wenye akili lazima watilie mashaka huo utetezi.

Sababu lazima itakuwa kabla ya tukio lilitafutwa eneo ambalo litakuwa na ukakasi pale watapofanya tukio na kuiusisha serekal. Huenda walio fanya tukio lengo lilikua ni kuichafua Serekali na Sio tu kumuua Tundu Lissu. Na pia walifaham udhaifu wa pale nyumbani kwa Tundu Lissu hasa katika maswala ya ulinzi pia itakuwa walifahamu kabisa kuwa camera hamna.

Wote tunafahamu Tanzania vitu vingi vinafanywa bila umakini sababu huwezi sema Una CCTV Kamera halafu huna oparetor anaozikagua kila siku na kuzisimamia. Kama kweli ndugu zetu wanaishuku Serekali sababu tu CCTV camera zilitolewa japo naaamini hapakuwa na CCTV camera Ila zilikuepo Kama bosheni tu Yaani usanii

Kama kweli ushaid wa Tundu Lissu kupigwa risas ni sababu Kamera zilitolewa embu mh tundu lisu awaweke wazi wafanyakazi wote walio kua wanahusika na CCTV camera system kwenye ulinz Kama wapo Basi moja kwa moja hao wanatakiwa wahojiwe kwann camera zilitolewa.naiman tundulisu atakua anawafaham wote kama wapo. Na Kama hawapo Basi pale hapakua na CCTV camera na waliofanya tukio walijua ilo kabla ya kufanya tukio

Point ya kusema moja kwa moja kua walio mpiga risasi ndio walitoa camera ili linatia mashaka kwa Tundu Lissu.

Narudia Tena huenda walio tenda hilo Jambo walitafuta eneo ambalo wanaweza kuitupia Serekali lawama bila Serekali kushindwa kujitetea Ila majengo mengi ya serekal nafaham kabisa camera zinakuaga boshen tu Yani zikisha fungwa ndio basi Tena

Swali lingine kulikuwa na ulazima gani wa Tundu Lissu kupigiwa risasi pale?
 
Ishu ya Tundu Lissu.. haiitaji elimu ya chuo kikuu kujua kama ni inside job ya chadema..

Jiulize swali jepesi tu, why dereva anafichwa asihojiwe.. dereva kakimbizwa hadi nje ya nchi bila sababu za msingi
Hivi issue kama ipo kama unavyo sema basi serikari haitimizi wajibu wake.
Unataka kuniambia serikali imehararisha CHADEMA wauane?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom