Kangi Alphaxard Lugola: A new Sheriff in Town

Kangi Alphaxard Lugola: A new Sheriff in Town

Ungemalizia ktk jina lake hapo aka NINJA

Ova
 
mkuu.. Watu wakiangalia ile mifuko ya bendera iliopinduliwa na huwa hawana mbavu ni kituko cha dr shika! Na ukija kuangalia sizoni ya mbwa [HASHTAG]#hobby[/HASHTAG] ilivyoisha ndio kabisa.. Anaonekana miyeyusho rasmi!
Inawezekana ukawa sahii Mura.Matamko imara na yatakayostahili kuheshimika in Yale yanayozingatia misingi ya Rule of law.Hakuna sehemu kwenye sheria au katiba yetu inayomtaka mhalifu apelekwe mbele ya waziri labda kama anataka kujikumbusha kazi ya Polisi. Maelekezo sahii kwa Ijp amkamate mhaliifu na kumfikisha mahakamani baada ya kukamilisha upelelezi.Ajabu anaposhauriwa anaona kama anadharauliwa.Binadamu wengi huwa tunakosea ila kukubali ushauri na kuufanyia kazi in moja ya vionjo vya binadamu mwenye hekima.
 
Boss Mgambilwa ni mntu Hakuna kitu hapo, WaTanzania sijui tumelogwa na nani??? !!! Yaani tupo tupo tu, hata hatutaki kutumia akili kufikiri. Jambo dogo tu, tunaingia kichwa kichwa.

Kwangu mimi, hii naona kama upepo tu, rejea matukio mengi yanayotokea, Babu Loliondo, Mzee wa Itapendeza 900, na matukio mengi, Mbaya zaidi Watanzania baada ya kupoteza muda kujadili maswala muhimu ya kuhusu Taifa letu, tunapoteza muda kujadili matukio na Umbea na Udaku.

Kiongozi mzuri, hafanyi kazi kwa Media.

Kwa namna Rais Dk. John Pombe Magufuli alivyoiendesha Serikali yake akisaidiwa na PM katika miezi yake miwili tangu aapishwe tarehe 5.11.2015, ilikuwa ni wazi kuwa mmojawapo ya Wabunge ambao wasingekosekana katika Baraza lake la Mawaziri alilotangaza Disemba 10, 2015, ni Kangi Lugola.

Hata hivyo, bahati haikuwa yake akaachwa benchi. Hata alipoteuliwa kuwa Naibu Waziri wa Muungano na Mazingira, haku-deliver kufanya mtu ku-notice.

Mambo yamebadilika kabisa baada ya kuteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani. Though maamuzi yake mengi yamekuwa controversial, still ameleta vionjo vipya kwenye utendaji kazi ambavyo haviko kwa Viongozi wengine. Amemfunika 'another' Sheriff in Town - Paul Makonda, ambaye kwa miaka miwili ameiteka media kwa kiwango kikubwa.

Baadhi ya Maagizo ambayo yameleta mijadala mikubwa nchini ni:
  • Jeshi la Polisi kushughulikia zuio la Mabasi ya abiria kusafiri usiku.
  • Jeshi la Polisi kutafuta Mbwa wa Kikosi cha Farasi na Mbwa aliyepotea.
  • Jeshi la Polisi kumpeleka ofisini kwake, Mmiliki wa Lugumi.
  • Dereva na mmiliki wa gari bovu likipata ajali kuwekwa mahabusu kabla ya kupelekwa mahakamani.
Faida kubwa ya Lugola, ni kulifahamu vyema Jeshi la Polisi ambalo kwa hakika ni synonymous na Wizara hiyo.

Ushauri kwa Kangi Lugola: Ajitahidi kutoa maagizo kwa staha hasa kwa Wateule wa Rais, hasa IGP kwani pasipo kupata legitimacy ya Sirro, kazi yake itakuwa ngumu.

View attachment 815468
 
Boss Mgambilwa ni mntu Hakuna kitu hapo, WaTanzania sijui tumelogwa na nani??? !!! Yaani tupo tupo tu, hata hatutaki kutumia akili kufikiri. Jambo dogo tu, tunaingia kichwa kichwa.

Kwangu mimi, hii naona kama upepo tu, rejea matukio mengi yanayotokea, Babu Loliondo, Mzee wa Itapendeza 900, na matukio mengi, Mbaya zaidi Watanzania baada ya kupoteza muda kujadili maswala muhimu ya kuhusu Taifa letu, tunapoteza muda kujadili matukio na Umbea na Udaku.

Kiongozi mzuri, hafanyi kazi kwa Media.
Kikarara huo ni mtazamo tu lakini kuna baadhi wanaona kuwa kutokana na ukuaji wa teknolojia hauwezi kamwe kukwepa kufanya kazi na media na wengine wanaona kuwa wale ambao wameembrace media wamekuwa wakifanya vyema katika ratings za viongozi bora. Wasipoongea then there will be a vacuum that will need someone to fill this it. Who is? Think..
 
Boss Mgambilwa ni mntu Umeshindwa kunielewa, suala hapa, toka ameteuliwa, ni yeye tu ndio anayesikika kwa sasa, hata zile zindua zindua za Rais, kwishney. Sijakataa kufanya kazi na Media, Suala hapa, Sio kila Kikao lazima uite Media, Hii itamfanya Watu wamchoke mapema.

Pili suala naloongea hapa ni Watanzania kufuata upepo, Tu watu wa matukio. Je, baada ya huyu, nini kitafuata ...
 
You're right mzee. Ni kweli asizidishe itasababisha aonekane ana shobo.
 
Alphaxard ndiyo jina gani? Brnd new Sheriff Alphaxärd? Häta wzungu hawälitambui hilo jina.
 
ama kweli tutashuhudia mengi kwa utawala huu,
Ila nafurahi anavyomtesa IGP,karma imemrudia sirro,kipindi akiwa na rc alisumbua watu,kamand kanda maalumu
 
lazima tunyooke...akishindwa ninja atakuja bruce lee
 
Ila Dsm sio town ni City always jogoo wa shamba hawiki jijini

A new sherrif in town...ni msemo au nahau kwa hiyo haiwezi kubadilishwa...ni msemouliokuwa ukitumika sana hasa kwenye movies za 'western' zile za cowboys
 
HIVI WEWE UNAMUELEWA KANGI LUGOLA??

1f50a.png
Waziri Lugola anaungana na watanzania wengi kuhoji kwanini jeshi la polisi lisiweke utaratibu utakaowahakikishia wananchi ulinzi ktk sekta ya usafiri? Na kama tatizo ni ajali kwasababu ya uchovu wa madereva, bado jeshi la polisi na mamlaka nyingine wanaweza kulisimamia hilo ili kuhakikisha kuwa magari ya masafa marefu yanakuwa na madereva zaidi ya mmoja. Lengo ni kuhakikisha kuwa wasafiri hawalazimishwi kulala njiani kama hali ilivyo sasa. Kila mmoja atakubalina na mimi kuwa hili ni eneo linalohitaji marekebisho na maboresho

1f50a.png
Mbwa maalumu wa polisi anayetumika bandarini kwa kazi ya kukagua dawa za kulevya, viripuzi, pembe za ndovu nk haonekani alipo, hii inamaanisha nguvu ya kupambana na mambo hayo bandarini inaweza kuwa imefifia kutokana na kupungua kwa nguvu kazi hiyo muhimu. Lakini mpaka sasa kwa mujibu wa maelezo ya Kangi Lugola inakadiriwa kwamba zaidi ya Mbwa maalumu 30 wa polisi hawajulikani walipo. Kama mbwa hajafa, haumwi, na wala hajahamishwa kituo cha kazi, unadhani kwanini aondolewe eneo lake la kazi kinyemela bila rekodi yoyote. Usisahau kazi ya huyo mbwa ndipo utajua iwapo ameondoka kwa 'coincidence', uzembe au ni mkakati wa wajanja!?

1f50a.png
Waziri Lugola amempa agizo IGP wa Polisi, Simon Sirro kuhakikisha kuwa Lugumi anatafutwa alipo na aanakamatwa. Kilio cha ufisadi wa Lugumi kwa kuhusisha mkataba wa ufungaji kamera ktk vituo vya polisi hakijaanza leo, ufisadi huu unaokadiliwa kufikia billion 30 uliibuliwa na wabunge wa upinzani bungeni tangu 2015. Hatua hizi zinazochukuliwa na Kangi Lugola sasa kuhusu sakata la Lugumi zilitakiwa kufanyika mapema sana toka enzi za Mwigulu Nchemba, inaonekana waliokuwa na wajibu wa kufanya hivyo waliamua kukaa kimya au walijivuta kuchukua hatua.

1f50a.png
Waziri Lugola ameagiza waliopewa kazi ya KUAGIZA mtambo wa kutengeneza vitambulisho kutoa maelezo ulipo mtambo kama hawana maelezo warejeshe Sh bilioni 32 zilizotokewa kwa ajili ya ununuzi wa mtambo huo. Hii inamaanisha kuna watu wamelipwa mapesa kwa ajili ya kuagiza mtambo, lakini mpaka sasa mtambo haupo na hakuna maelezo na fedha hazipo.

[HASHTAG]#Note[/HASHTAG] Kangi Lugola akikosea tutaona amekosea na hatutachelewa kumkosoa, lakini wengi leo hawataki kumuelewa Kangi Lugola kwasababu anahoji vitu ambavyo ikitokea vikafanikiwa kupatiwa ufumbuzi atakuwa amejibu hoja nyingi sana ktk kipindi kifupi. Na huenda baadhi ya wasiomuelewa leo wamesahau kwamba haya mambo anayoyahoji Kangi Lugola leo, ndiyo waliyokuwa wakiyahoji na kutaka majibu kabla ya Kangi hajawa waziri wa hii wizara.

Magoiga SN
Hayo yote si muhimu kama UHAI wa mtu,atuambie ni kina nani waliompiga risasi Lissu
 
Back
Top Bottom