ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,072
- 858,581
HahahahaMbowe aliondoa mgombea Uraisi W. Slaa akaleta Fisadi!
Mbavu zangu mie uwiii!
Hahahaha
HahahahaMbowe aliondoa mgombea Uraisi W. Slaa akaleta Fisadi!
Nyani hacheki....,Inahusianaje na mada?
Wakati mwingine kukaa kimya ni busara kuliko kupayuka utumbo
Aisee!Mkuu asante kwa uandishi wa enzi za Rai. Nakumbuka enzi hizo nilikua secondary ila nilikua nasoma sana hilo gazeti bro zangu walikua hawalikosi na walikua wakilisoma wanaanza kuhadithiana hivi jinsi gazeti lilivyotamu nikajikuta nimekua member nasoma kila page. Daah, gone are those days
Kujiuzulu kunahitaji moyo, maana kuna kushughulikiwa na kufukarishwa. Ndiyo maana wengi wanashindwa kujiuzulu.Kama alibanwa na akashindwa kuchukua hatua juu ya matukio mabaya kabisa yaliyokuwa yakitokea kwanini hakujiuzulu hadi aje aondolewe kwa aibu!
Duh! Hatari sanaKujiuzulu kunahitaji moyo, maana kuna kushughulikiwa na kufukarishwa. Ndiyo maana wengi wanashindwa kujiuzulu.
Hakuna aliyebora kati ya hao wote, na kwa awamu hii hatotokea....ni bora mwigulu mkimya kuliko lugola wa matamko
UshafikaUtaniprleka kwa kagi?
Yes kwa utendaji wa Siro nadhani polite language inatakiwa kuepuka kum frustrate japo sijui protocol za police nadhani itapendeza zaidi ila pia tumeshuhudia mh waziri mkuu akitaka maelezo idara mbali mbali bila kuwa na ulazima wa kumtaka waziri husikaMh. Waziri Lugola anaonekana kama ni professional, mimi sijui profession yake ni nini lakini nadhani naye ni askari pia. Ninaanza kuona dalili kuwa ata-deliver kwa kiwango cha juu sana katika wizara hii, in short I like him. Hata hivyo nashauri tu maagizo yake anayompa IGP, awe anampa katika staili ya kirafiki zaidi, anapokuwa ni mali kiasi kwake anaweza wakati mwingine akamchanganya asifanye kama anavyomtaka afanye. Sirro is a man of action, kwa hiyo waziri awe comfortable maagizo yake yote anayoyatoa yatafanyiwa kazi kama anavyotka, asiwe mkali sana hata kwa Siroo!
Kweli kabisa, mfano Lukuvi anachapa kazi sana, ila media kwa mbaliiiii!You're right mzee. Ni kweli asizidishe itasababisha aonekane ana shobo.
Huyu mama atumie busara na hekima atafika mbali lakini akijifanya mbabe kwa kweli atapondwa hicho kichwa yesterday!"Ama zangu ama zake"..in kangi's voice..hako ka nyoka (Fatma Karume)nitakaponda kichwani..
Ni kwasababu ya kujiona kila kitu wanajua.Awamu hii ni awamu ya wenye kuboronga. Anayeboronga hubakia kwenye nafasi yake na pengine kupandishwa cheo kabisa. Siyo awamu ya kufuata misingi ya kiuongozi na kuhusisha tafakuri na nadharia zake.
Mifano ni mingi. Gambo RC wa Arusha alipoonyesha inda na fitina za wazi dhidi ya mbunge wa Arusha Mjini na wapinzani kwa ujumla ameonekana ni kidume anadunda na anadumu Arusha.
Sote tunajua Mnyeti ili kuwa RC wa Manyara ilimbidi kufanya biashara ya kununua madiwani akiwa DC.
DC wa Iringa Mjini ili adumu na kushikilia nafasi yake ilimbidi kuonyesha mpambano wa wazi na mbunge Msigwa.
Siandiki makusudi kabisa yanayomhusu RC Makonda najua mnayajua.
Uhuru je?Jamvi la Habari linaweza kufuata nyayo za Raia Mwema
Nini mkuuMmh....
Wewe nae muda mwingine utuondolee upumbavu hapa,watu tunajadili mambo ya msingi unaleta upuuzi,soma mada au kaa kimya pimbi wewe,Mbowe aliondoa mgombea Uraisi W. Slaa akaleta Fisadi!
Alichofanikiwa ni kuigeuza TLS kuwa chama cha upinzani ndani ya muda mfupi,anastahili pongezi.Huyu mama atumie busara na hekima atafika mbali lakini akijifanya mbabe kwa kweli atapondwa hicho kichwa yesterday!