Kangi Alphaxard Lugola: A new Sheriff in Town

Kangi Alphaxard Lugola: A new Sheriff in Town

Siro na Kang ni watu wanaotoka mkoa mmoja, ila pia kuna tetesi kuwa walipita seminary moja ingawa Kang akubahatika kumaliza...

so ni watu wanaofahamiana, usidhan ipo siku Siro atakuja kumaind kwa kile anachokifanya Kangi...

kingine ni kwamba Sirro ni mnyenyekevu na mtii sana, rejea kipindi akiwa RPC Akidhihakiwa na kudhalilishwa kama mtoto na RC Makonda kabla ya kupandishwa cheo na kiwa IGP
 
Yes kwa utendaji wa Siro nadhani polite language inatakiwa kuepuka kum frustrate japo sijui protocol za police nadhani itapendeza zaidi ila pia tumeshuhudia mh waziri mkuu akitaka maelezo idara mbali mbali bila kuwa na ulazima wa kumtaka waziri husika
Mkuu hapo kwenye bold ndiyo umemaliza kila kitu. Nadhani kuna haja Mh. Waziri akatumia style hiyo, ni nzuri pia itapendeza. Akishahesema anataka maelezo kutoka kwao, IGP mwenyewe atajiongeza, badala ya kuwa anamuelekeza yeye kila mara!
By the way, nimetumia neno "itapendeza" likanisababisha nimkumbuke rafiki yetu Dr. Louis Shika, huyu mtu amepotelea wapi?
 
Mwingine Said Lugumi naye leo kaenda kuripoti kwa The New Sheriff in Town, Kangi Lugola.

IMG_5683.JPG
 
Gazette la Jamvi la Habari licha ya kumpongeza sana Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola, kwa utendaji Kati wake mzuri na uliotukuka, limetoa angalizo kwake kuangalia mipaka ya kile anachokisema ama kutumia njia nzuri ya kuwasilisha kile anachotaka kifanyiwe marekebisho.
Naungana na Gazeti hilo kumuasa our Sheriff in Town, kupunguza kasi ya kutoa maagizo yake kupitia Vyombo vya habari. Wewe umeshaonyesha wazi ni mzuri sana na indeed ume-excel ndio maana wengi wanakushambulia. Tulia sasa ili usiwape nafasi ya kushusha credibility ya mazuri unayofanya. Toa maagizo kama kawa bila kuhusisha media.

IMG_5741.JPG
 
Kuhusu tarehe tatu leo imekuaje kuhusu NIDA Leo tarehe 3 via Gotham Na mwenzake
 
Huyu waziri nasikia ni mgane.
Sijui itakuaje sasa nipate mawasiliano
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji1] [emoji1]
Mrembo jivute mdogo mdogo kuelekea Dodomiya, kule waweza kupata chance mkaonana, hapa jijini magazeti ya udaku mengiii...
Kule Dodomiya hizo Habari hakunagaa...
 
Back
Top Bottom