KANGAROO

Perfectz

JF-Expert Member
May 17, 2017
8,954
27,820
KWEMA WANAJAMIIII???MKO POA AISEE?
1713804113134logo.jpg

Kangaroo ni mnyama mpole sana,hana makuu na ana maisha yake ya amani kabisa.
Kuna MOD mmoja humu aliamua kupiga BAN Kangaroo bila sababu za msingi.

Yani kapicha ka Kangaroo tu ndo kanamtoa roho moderator.

Kangaroo hajatukana mtu,hajatoa lugha chafu,hajapost matusi wala kumkashifu mtu.

Je ni kosa kurudia picha moja na CAPTION tofauti tena yenye maneno mazuri yasiyo na maudhi???

Kuna vitu vya kupambana navyo sio kangaroo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom