Kandarasi ya kulinda legacy, wafadhili wamechemsha?

Kwani kwa akili zenu propaganda zenu za kumchafua Hayati mnadhani zitafanikiwa. Ukitakujus zimefeli nenda saizi kawanyanyase wajasiliamali wadogo, Wachimbaji wadogo, au kawatapeli wanyonge uone kama hautatandikwa viboko mpaka ujute kuzaliwa.
Ninachomaanisha tutamkumbuka kwa kutufumbua macho tulivyokuwa tunaibiwa, tutamkumbuka kwa kutuonesha tunaweza kuendesha miradi mikubwa bila kuwategemea wakoloni, tutamkumbuka kwa kuapa kufa kwa ajili ya masikini/wanyonge, tutamkumbuka kwa kuishi siasa za ukweli siyo za kitapeli kama za Kigogo 2014, tutamkumbuka maana alikuwa mtoto wa Masikini.
Ninachomaanisha ni kwamba hangaikeni majizi wakubwa nyie wa mali za umma kumchafua hayati sidhani kama mtafaulu.
Shubamati
Siyo mabeberu Tena ila ni wakoloni !!! Taratibu tutaelewana tu
 
Hakuna pesa inayotosha ndio maana maisha yetu ni ya kutafuta pesa mpaka tunakufa.

Leo ni siku ya 53 tangu hayati mwendazake atwaliwe kutoka maisha haya... Wafaidikaji wa utawala wake wakajipa kandarasi ya kulinda 'mazuri' yake huku wakipambana mitandaoni na kila aliyejaribu kukosoa utawala wa hayati mwendazake. Hii si kandarasi ndogo hata kidogo.

Kuweza kuiendesha kwa mafanikio mpaka ufikie lengo kunahitaji oganaizesheni kubwa ya pamoja, rasilimali watu, na vyanzo vya uhakika vya mapato.

Vikundi tarajiwa kwa maana ya rasilimali watu vilivyotegemewa kuifanya hii kandarasi ni LMB7, MATAGA na kikundi kidogo cha SKM GANG! Lakini kwa bahati mbaya kabisa watatu hawa wakakosa ushirikiano na kuanza kuhitilafiana na kutuhumiana wao kwa wao
Ili uweze kuendesha kampeni ya mafanikio .. Ukiachana na mpango kazi wa mradi wako ... Pesa za kuwezesha na watu wa kufanya kazi ni muhimu sana.

Na hizo pesa lazima zipatikane toka chanzo cha uhakika na endelevu

Mwanzoni baada tu ya kifo mradi ulienda vizuri sana, wafanya kampeni za kulinda legacy walilipwa bila kigugumizi na walipaji walitoa bila kusita....lakini kadiri muda ulivyosogea ukweli mchungu na wa kuogofya sana ulianza kujifunua. Kwamba malipo yanayotoka hayana monitoring ya kueleweka

Kwamba kila sent itokayo hakuna replacement yake tena kwakuwa mfadhili mkuu hayupo tena.

Kwamba malipo yanatofautiana kwa watu wanaofanya kazi moja..kuna wanaopata zaidi na kuna wanaopata kiduchu. Kwamba uhitaji wa cash ni mkubwa sana kuliko matarajio na hakuna vyanzo vya mapato.

Chini ya siku 100 tayari wanapumulia mashine. Kilichobaki sasa hakuna umoja wala kandarasi ya kulinda legacy tena.. Kila mtu na lwake! Wanachoangalia sasa ni maslahi binafsi.. Kuliko kushupaa kulinda legacy ya mfu Yenye gharama kubwa ni heri kulinda chochote alichovuna toka utawala wa hayati mwendazake.

Ni wazi kuna baadhi yao ni wafaidikaji wakubwa wa miradi binafsi ya marehemu waliopewa kuisimamia, ambayo kimsingi ni ya familia ya mwendazake! Si ajabu kati yao kuna walio busy kutaka kuitaifisha na kuigeuza ya kwao.. Na hapa ndio wanachimbana na kutofautiana.

Joto la kulinda legacy linapoa kwa kasi ya aina yake na ikigonga siku ya 100 litakuwa tayari baridi kabisa... Tena ile YABISI... Halafu tutaenda kuizika legacy kwenye makaburi ya sahau.
Sawa, nenda na mama..ila usije hapa jf kuongea chochote..mana kwa muda mfupi tuu..mama tayar chaliiii....uzuri jf haifupi post..
 
Kwani kwa akili zenu propaganda zenu za kumchafua Hayati mnadhani zitafanikiwa. Ukitakujus zimefeli nenda saizi kawanyanyase wajasiliamali wadogo, Wachimbaji wadogo, au kawatapeli wanyonge uone kama hautatandikwa viboko mpaka ujute kuzaliwa.
Ninachomaanisha tutamkumbuka kwa kutufumbua macho tulivyokuwa tunaibiwa, tutamkumbuka kwa kutuonesha tunaweza kuendesha miradi mikubwa bila kuwategemea wakoloni, tutamkumbuka kwa kuapa kufa kwa ajili ya masikini/wanyonge, tutamkumbuka kwa kuishi siasa za ukweli siyo za kitapeli kama za Kigogo 2014, tutamkumbuka maana alikuwa mtoto wa Masikini.
Ninachomaanisha ni kwamba hangaikeni majizi wakubwa nyie wa mali za umma kumchafua hayati sidhani kama mtafaulu.
Shubamati
Mmepigia pesa sana ,oooh wajasilia Mali wadogowadogo or wanyonge .

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
Looooo.. walaaaaaaa kabiswa..

Hao wamejipa kiti cha wapokea buku7.. hadi leo hawajanitumia nazisikia tu.. na DM yangu ipo..

Mimi ni Coco wa Cocochanel

Sawa bibi.. tuliza boli..
Sawa bibi.. tuliza boli..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom