Sasa hivi kabaki tu bwana Musiba a.k.a Nigrastratatract a.k.a Veronica France kwa Facebook kuleHakuna pesa inayotosha ndio maana maisha yetu ni ya kutafuta pesa mpaka tunakufa.
Leo ni siku ya 53 tangu hayati mwendazake atwaliwe kutoka maisha haya... Wafaidikaji wa utawala wake wakajipa kandarasi ya kulinda 'mazuri' yake huku wakipambana mitandaoni na kila aliyejaribu kukosoa utawala wa hayati mwendazake. Hii si kandarasi ndogo hata kidogo.
Kuweza kuiendesha kwa mafanikio mpaka ufikie lengo kunahitaji oganaizesheni kubwa ya pamoja, rasilimali watu, na vyanzo vya uhakika vya mapato.
Vikundi tarajiwa kwa maana ya rasilimali watu vilivyotegemewa kuifanya hii kandarasi ni LMB7, MATAGA na kikundi kidogo cha SKM GANG! Lakini kwa bahati mbaya kabisa watatu hawa wakakosa ushirikiano na kuanza kuhitilafiana na kutuhumiana wao kwa wao
Ili uweze kuendesha kampeni ya mafanikio .. Ukiachana na mpango kazi wa mradi wako ... Pesa za kuwezesha na watu wa kufanya kazi ni muhimu sana.
Na hizo pesa lazima zipatikane toka chanzo cha uhakika na endelevu
Mwanzoni baada tu ya kifo mradi ulienda vizuri sana, wafanya kampeni za kulinda legacy walilipwa bila kigugumizi na walipaji walitoa bila kusita....lakini kadiri muda ulivyosogea ukweli mchungu na wa kuogofya sana ulianza kujifunua. Kwamba malipo yanayotoka hayana monitoring ya kueleweka
Kwamba kila sent itokayo hakuna replacement yake tena kwakuwa mfadhili mkuu hayupo tena.
Kwamba malipo yanatofautiana kwa watu wanaofanya kazi moja..kuna wanaopata zaidi na kuna wanaopata kiduchu. Kwamba uhitaji wa cash ni mkubwa sana kuliko matarajio na hakuna vyanzo vya mapato.
Chini ya siku 100 tayari wanapumulia mashine. Kilichobaki sasa hakuna umoja wala kandarasi ya kulinda legacy tena.. Kila mtu na lwake! Wanachoangalia sasa ni maslahi binafsi.. Kuliko kushupaa kulinda legacy ya mfu Yenye gharama kubwa ni heri kulinda chochote alichovuna toka utawala wa hayati mwendazake.
Ni wazi kuna baadhi yao ni wafaidikaji wakubwa wa miradi binafsi ya marehemu waliopewa kuisimamia, ambayo kimsingi ni ya familia ya mwendazake! Si ajabu kati yao kuna walio busy kutaka kuitaifisha na kuigeuza ya kwao.. Na hapa ndio wanachimbana na kutofautiana.
Joto la kulinda legacy linapoa kwa kasi ya aina yake na ikigonga siku ya 100 litakuwa tayari baridi kabisa... Tena ile YABISI... Halafu tutaenda kuizika legacy kwenye makaburi ya sahau.
Duh kumbe ndie yeye... Ila naye pumzi inakata muda si mrefuSasa hivi kabaki tu bwana Musiba a.k.a Nigrastratatract a.k.a Veronica France kwa Facebook kule
Naweza kuanzisha mada, nishafanya hivyo siku nyingi. Mimi nauliza kandarasi ya kumpamba mbowe kua ndiye mwenyekiti bora na wa kudumu chamani itaisha lini? Ruzuku ya milioni 300 per month for more than 5 yrs imefanya kazi gani?Anzisha mada ni haki yako kufanya hivyo
Nikijibiwa haya maswali ntaanzisha uzi wangu. Je ruzuku ya milioni 300 per month for more than 5yrs imeleta legacy gani pale ufipa?Anzisha Uzi wake utapata Majibu Mkuu!
Jikite kwenye mada husika Mkuu!Nikijibiwa haya maswali ntaanzisha uzi wangu. Je ruzuku ya milioni 300 per month for more than 5yrs imeleta legacy gani pale ufipa?
Miaka zaidi ya 20 ya mwenyekiti wa kudumu chamani imeleta legacy gani?
Yule mbelgiji anayeongoza chama kwa mtandao wa Twitter na wasap call ameleta legacy gani? Sawa mwendazake hana'Legacy' mbowe anayo?
Ana jina jingine eti...Dah... Lumumba buku 7! Kitambo sana, Mwaka wa kumi huu JF..!! cocochanel alijaribu kurudi ila kapotea tena! Wameparanganyika!
Thubutu yake...Jikite kwenye mada husika Mkuu!
rabishiDah... Lumumba buku 7! Kitambo sana, Mwaka wa kumi huu JF..!! cocochanel alijaribu kurudi ila kapotea tena! Wameparanganyika!
Sio "MWENDAZAKE" anaitwa "MWANAKWENDAZAKE na AENDE"Naweza kuanzisha mada, nishafanya hivyo siku nyingi. Mimi nauliza kandarasi ya kumpamba mbowe kua ndiye mwenyekiti bora na wa kudumu chamani itaisha lini? Ruzuku ya milioni 300 per month for more than 5 yrs imefanya kazi gani?
Msiwe wapumbavu tu wa kukosoa wengine na wakati kwenu kuna mashudu. Haya mwendazake hana 'Legacy' mbowe anayo?
Yule wa kule Ubelgiji anaongoza chama kwa mtandao wa Twitter na wasap call, hyo ni legacy? Braza kazana na uchawi na ulozi, siasa ngumu
Ahaaaa, we nani, ! Kuwa na Heshima, sawa bwana? KUWA NA HESHIMA.!!rabishi
nimeshawaamia musinipangie ya kuandika humwu JF.
Looooo.. walaaaaaaa kabiswa..Kimeumana![]()
![]()
![]()
![]()
Ahaaaa, we nani, ! Kuwa na Heshima, sawa bwana? KUWA NA HESHIMA.!!
Hivi yule pimbi wao Musiber anapatikana kwenye platform ipi wadau? Maana nae siku hizi kimya kweri kweri, au nasema uongo ndugu zangu?
Sawa soon utakutana naye kule, kama sio wewe basi mama yakoSio "MWENDAZAKE" anaitwa "MWANAKWENDAZAKE na AENDE"
Leo uneandika kwa upole sana 😂 😂 😂Looooo.. walaaaaaaa kabiswa..
Hao wamejipa kiti cha wapokea buku7.. hadi leo hawajanitumia nazisikia tu.. na DM yangu ipo.. 😃😃😃😃
Mimi ni Coco wa Cocochanel
Sawa bibi.. tuliza boli..
Kote huko?Ikigonga siku mia tutakuwa tumewasahau wote