Kandarasi ya kulinda legacy, wafadhili wamechemsha?

Joto lingekuwa limepoa usingeandika kuhusu kitu hicho. Ungelipiga kimya kama ambavyo hamuandiki chochote kuhusu kesi mlizodanganywa kupelekwa The Hague! Ahahahahahahahah
Naona umejikakamua utafute cha kuandika mpaka umekipata.... Hongera kwa kuchangia mada japo nina hakika hujui ulichoandika
 
Ipo siku mtanikumbuka ndugu zangu---- JPM.

Ukiona unashangiliwa na Chadema nenda ukapime uwezo wako wa kufikiri utakuwa umeshuka sana.
Kabla hata ya miezi miwili haijaisha ni wizi kila kona.View attachment 1777292View attachment 1777293
Kosa ni la Magufuli maana alishindwa kutengeneza mifumo akaishia kuendesha nchi kama vile hatakaa afe.

Haya yote alaumiwe magu.
 
Akawa na jeuri ya kuchapisha vijarida vyake hata visiponunulika.Hivi bado vipo mitaani kweli baada ruzuku kukoma
Binafsi ningeshukuru kupata habari juu ya hili.

Mada hii ya mkuu Mshana ingekuwa na uzito wa kipekee sana kama angetumia ushahidi wa kutoweka kwa vipeperushi hivi kama mfano mzuri wa kuunga mkono hoja yake kuhusu kukatika kwa malipo baada ya vyanzo vya mapato kuondoka.

Mkuu 'Mshana Jr.' njoo hapa utupe mrejesho kuhusu hili.
 
Katika kitu kilichowauma mataga & co
Ni kifo Cha mtu pori jiwe yaani hawakutegemea Kumbe hii dunia kila baada ya sekunde moja historia inabadilika

Yaani wameshuhudia ndani ya siku kadhaa tu mambo yameguka geu geu Tena ghafla bin vuu
Wamebaki wakilalama Kama mbwa koko aliyenyimwa makombo hadi wanatia huruma

Nasemaje

Huu mwaka wenu!

Kutesa kwa zamu!
😂😂😂😂
 
Mi nadhani watu wengi hawaelewi. Maana ya kutofutika kwa legacy ya JPM ni kwamba kiongozi yeyote ajaye wa Tanzania ili aweze kupata huo urais ni lazima atembelee kwenye falsafa ya JPM. Vinginevyo asahau kuwa rais wa Tanzania.

Mama Samia ana miaka minne ya kuprove kama anastahili awamu nyingine ya pili. Awamu yake ya pili atapitia mtanange, na watanzania sidhani kama tupo tayari kuongozwa tena na kiongozi dhaifu dhaifu baada ya kuonja what it means to be a real president. Nalazimika kuamini kwamba mama Samia kuna kitu atakuwa alijifunza kwa JPM -- kwamba kuwa rais wa Tanzania sio nafasi ya kuimba na kucheza kumbaya huku mafisi na mapanya kutoka nje na ndani ya nchi wakishirikiana kuitafuna nchi na kutuachia mashimo na mabua. Ni nafasi ya kuacha legacy, kwamba hata ukifa utaendelea kukaa kwenye mioyo ya watu wa aina zote. Waliokupenda na wasiokupenda pia.
 
JPM was real tough indeed .. But within his toughness... There was a soft end...The weak point...!!!
 
Kwani kwa akili zenu propaganda zenu za kumchafua Hayati mnadhani zitafanikiwa. Ukitakujus zimefeli nenda saizi kawanyanyase wajasiliamali wadogo, Wachimbaji wadogo, au kawatapeli wanyonge uone kama hautatandikwa viboko mpaka ujute kuzaliwa.
Ninachomaanisha tutamkumbuka kwa kutufumbua macho tulivyokuwa tunaibiwa, tutamkumbuka kwa kutuonesha tunaweza kuendesha miradi mikubwa bila kuwategemea wakoloni, tutamkumbuka kwa kuapa kufa kwa ajili ya masikini/wanyonge, tutamkumbuka kwa kuishi siasa za ukweli siyo za kitapeli kama za Kigogo 2014, tutamkumbuka maana alikuwa mtoto wa Masikini.
Ninachomaanisha ni kwamba hangaikeni majizi wakubwa nyie wa mali za umma kumchafua hayati sidhani kama mtafaulu.
Shubamati
Kama kuna kufa tena huko aliko enda afe tena na tena. Jitu gani lilikua na roho ya kishetani vile? Tunamshukuru mola
 
JPM was real tough indeed .. But within his toughness... There was a soft end...The weak point...!!!
Kama binadamu wote tulivyo. Hata uwe tough namna gani, ukifika kwa wife au watoto utafu wako wote unauacha getini.

JPM was tough and serious, kwa yale yanayombidi awe hivyo. Deep inside mi nashawishika kwamba hata wale wasiompenda JPM wanaamini kuwa rais wa nchi lazima awe kama JPM , lakini labda pia wangependa awe mtu fulani mwenye maneno laini laini. Sisi kwa upande wetu hatuamini kwamba utampata mtu mkamilifu duniani kiasi hicho. Mimi mwenyewe nayajua mapungufu yangu, kwa nini nimtafute mtu mkamilifu duniani?
 
Hii maana yake ni kwamba,wewe mleta mada pamoja na wenzako wote mnaoshinda kwenye mitandao ya kijamii kumbeza,kumkashifu na kumkosoa Hayati.....kuna 'masponsa' nyuma yenu wanawowawezesha kufanya hivyo,na si kwamba mnafanya mnayofanya kwa utashi wenu.
Sasa kipi cha kushangilia na kujivunia hapo mpaka kuja kuanzisha mada ya kipumbavu kama hii?..wote si wale wale tu!!!
 
Mi nadhani watu wengi hawaelewi. Maana ya kutofutika kwa legacy ya JPM ni kwamba kiongozi yeyote ajaye wa Tanzania ili aweze kupata huo urais ni lazima atembelee kwenye falsafa ya JPM. Vinginevyo asahau kuwa rais wa Tanzania.

Mama Samia ana miaka minne ya kuprove kama anastahili awamu nyingine ya pili. Awamu yake ya pili atapitia mtanange, na watanzania sidhani kama tupo tayari kuongozwa tena na kiongozi dhaifu dhaifu baada ya kuonja what it means to be a real president. Nalazimika kuamini kwamba mama Samia kuna kitu atakuwa alijifunza kwa JPM -- kwamba kuwa rais wa Tanzania sio nafasi ya kuimba na kucheza kumbaya huku mafisi na mapanya kutoka nje na ndani ya nchi wakishirikiana kuitafuna nchi na kutuachia mashimo na mabua. Ni nafasi ya kuacha legacy, kwamba hata ukifa utaendelea kukaa kwenye mioyo ya watu wa aina zote. Waliokupenda na wasiokupenda pia.
Mkuu huelewi haya mambo. Upo kizamani sana. Belgium wamewahi kuishi bila Rais mwaka mzima baada ya kugundua waliyemchagua alikua shoga. Kwasababu ya taasisi zao imara mambo yalikua yanaenda smoothly as if kuna raisi. Akili za kufikiria Tanzania inahitaji jitu katili kama Magufuli to be a President nimawazo ya kizamani (barbaric)
 
Hii maana yake ni kwamba,wewe mleta mada pamoja na wenzako wote mnaoshinda kwenye mitandao ya kijamii kumbeza,kumkashifu na kumkosoa Hayati.....kuna 'masponsa' nyuma yenu wanawowawezesha kufanya hivyo,na si kwamba mnafanya mnayofanya kwa utashi wenu.
Sasa kipi cha kushangilia na kujivunia hapo mpaka kuja kuanzisha mada ya kipumbavu kama hii?..wote si wale wale tu!!!
Halafu kwa faida ya watu wote: wale wanaoimba sifa za JPM hata baada ya kuwa ashatangulia mbele za haki ni watu genuine wenye mapenzi mema na nchi yetu, na waliokuwa wakiamini katika falsafa ya JPM kwamba ndiyo falsafa sahihi kwa maendeleo ya nchi yetu. Utasifia je mtu ambaye hata hakusikii!

Ieleweke tu kwamba wala JPM wala asingekuwa rais kama CCM yenyewe ingekuwa haijastuka kwamba kumweka mtu mwingine nje ya JPM ingekuwa ndio CCM bye bye. Watu tulichoka kwelikweli na upuuzi wa aina yake kuwahi kutokea katika historia ya nchi yetu na tuliamini solution ingepatikana nje ya CCM. Na hapo ndio kimuujiza JPM akapata fursa.

Sasa watu wepesi kusahau historia wajiaminishe kwamba spirit iliyomfanya JPM aingie madarakani imekufa. Watanzania hatujawahi kubadilika.
 
🤣🤣🤣🤣🤣👊👊 Umeua na kuzika mkuu, BTW Legacy hailindwi wala kupiganiwa legacy inajieleza yenyewe, inajipambanua yenyewe na automatically kama ni legacy yenye manufaa kwa Taifa automatically itakua progressive. Asieamini kifo means haamini kaz ya MUNGU.

OVER
Kwani legacy ya timu mizoga inasemaje?
 
Halafu kwa faida ya watu wote: wale wanaoimba sifa za JPM hata baada ya kuwa ashatangulia mbele za haki ni watu genuine wenye mapenzi mema na nchi yetu, na waliokuwa wakiamini katika falsafa ya JPM kwamba ndiyo falsafa sahihi kwa maendeleo ya nchi yetu. Utasifia je mtu ambaye hata hakusikii!

Ieleweke tu kwamba wala JPM wala asingekuwa rais kama CCM yenyewe ingekuwa haijastuka kwamba kumweka mtu mwingine nje ya JPM ingekuwa ndio CCM bye bye. Watu tulichoka kwelikweli na upuuzi wa aina yake kuwahi kutokea katika historia ya nchi yetu na tuliamini solution ingepatikana nje ya CCM. Na hapo ndio kimuujiza JPM akapata fursa.

Sasa watu wepesi kusahau historia wajiaminishe kwamba spirit iliyomfanya JPM aingie madarakani imekufa. Watanzania hatujawahi kubadilika.

SALUTE sana kwako kiongozi,wachache sana humu ndani wenye upeo kama wako,na zaidi sidhani kama hata watakuelewa ulichokiandika hapa!!!
 
Mkuu huelewi haya mambo. Upo kizamani sana. Belgium wamewahi kuishi bila Rais mwaka mzima baada ya kugundua waliyemchagua alikua shoga. Kwasababu ya taasisi zao imara mambo yalikua yanaenda smoothly as if kuna raisi. Akili za kufikiria Tanzania inahitaji jitu katili kama Magufuli to be a President nimawazo ya kizamani (barbaric)
Nadhani hauna tafsiri sahihi ya kile unachoita "system". System ni watu, na ukweli sikuwa najua kwamba Belgium ishawahi kukaa mwaka bila rais. Maana yake ni kwamba watu wakikukubali umekubalika, watu wakikukataa umekataliwa.

JPM alikuwa mwanasiasa kindakindaki, alijua nini watu wanataka. Alishawahi kusema yeye siyo mwanasiasa lakini ukweli wa mambo yule jamaa alikuwa mwanasiasa kwelikweli. Waliokuwa wanamwita "populist" hawakukosea.

Mi bado nasisitiza kwamba mwanasiasa anayetaka akubalike kwa watu wengi kama JPM alivyokuwa lazima atembelee kwenye falsafa za JPM. Sasa wajifanye kwamba kuwaridhisha wakenya, na wamarekani, na wawakilishi wao nchini ndio kupata kibali cha wananchi. Tutarudi tena hapa hapa kuzungumza mengine.
 
Hii maana yake ni kwamba,wewe mleta mada pamoja na wenzako wote mnaoshinda kwenye mitandao ya kijamii kumbeza,kumkashifu na kumkosoa Hayati.....kuna 'masponsa' nyuma yenu wanawowawezesha kufanya hivyo,na si kwamba mnafanya mnayofanya kwa utashi wenu.
Sasa kipi cha kushangilia na kujivunia hapo mpaka kuja kuanzisha mada ya kipumbavu kama hii?..wote si wale wale tu!!!
Sasa kipi cha kushangilia na kujivunia hapo mpaka kuja kuanzisha mada ya kipumbavu kama hii?..wote si wale wale tu!!!

Halafu nawe unajumuika humohumo kuchangia mada ya kipumbavu!, huoni kuwa unakuwa mpumbavu zaidi?
 
Kwani kuna dhambi gani (nakuwaje 'mpumbavu zaidi)kumwambia mtu kwamba ulichokifanya ama unachokifanya ni upumbavu/ujinga? ...ikiwa kweli akifanyacho ni upumbavu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom