Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,510
- 28,416
teh teh tehKaka hii ni musoma ya Wajita Waruri na Wakwaya ambayo pia ipo kanda ya ziwa. Si kinondoni asilani.
Karibu sana kwetu Mugango...huku tunapaita Kinondoni.
teh teh tehKaka hii ni musoma ya Wajita Waruri na Wakwaya ambayo pia ipo kanda ya ziwa. Si kinondoni asilani.
Kondoa na Chemba.Majumbau dawa ya kifua na wenye mimba.
Tupo pamoja mkuu. Sikujua kama mugango imebatizwa jina jipya. Huko kwetu kaka kwetu ni hapo musoma mjini.teh teh teh
Karibu sana kwetu Mugango...huku tunapaita Kinondoni.
Ha ha ha mkuu na wewe unazijua 'monjo'?Kinondoni tunayaita MASURUJI, tunatumia mbegu zake kufora monjo.......
teh teh mkuu najua sana monjo...Ha ha ha mkuu na wewe unazijua 'monjo'?
Kufora monjo ndo niniKinondoni tunayaita MASURUJI, tunatumia mbegu zake kufora monjo.......
Asee ikoje mkuu kwaniJamani Sungwii.. Zingekuwepo kwa wingi huku Dar hata watu wasingekuwa na haja ya kupiga viriba.. Juice yake ni zaidi ya kiroba.
Kinondoni tunayaita MASURUJI, tunatumia mbegu zake kufora monjo.......
Kwani huko ni ni mkuu sijazielewahuku Kilimanjaro haziitwi zinaotaga zenyewe
sipendagi ujinga SAA nikiwaza mbuge wangu anaganyiwa nn huku police
Bado kidogo wengine waseme naya ukimwiMajumbau dawa ya kifua na wenye mimba.
Kamwambie makondaHuku kwetu tunaita madawa ya kulevya
Kwani ni ni hizo hata sijazijua ziko kama mayai yalochomwa jikoni kwenye mkaaNilizikuta musoma kwa mara kwa Mara ya kwanza... Sijawah kuziona moshi... Musoma niliziona muda mrefu tu ila sikujarib kuzila... Kwa Mara nyingine nikazikuta iringa mshikaj akanunua na kutugaia sito..... Kwa Mara ya kwanza nazitia mdomoni nilizitema kimya kimya na kumpatia jamaa wakarib yangu.. Nilitema mate na kustaajab walaj wake... Ki ukweli sikuzipenda na niliwashangaa tu walaji.
Umenikumbusha kipindi cha kutuma salaam redio Tanzania.Huku kwetu Unyanyembe ... Mboka Manyema!!! ... Tabora Moja tunaita Ntalali ... tunda flani hivi amazing ... lina heshima yapekee usishangae yaani mtu anamka asubuhi kabla ya mswaki anatupia mbegu kazaa kusisimua mwili ...
Tunalitumia kama kiburudisho wakati wowote ... katika msimu wake ... pia ni dawa ya kikohozi chakuwasha ... zaidi ya yote Broo!!! hii kitu ni mujarabu sana kwa wale wenye matatizo ya figo au mkojo mchafu ... zote 9 kunamchanganyiko wake na namna ku tengeneza kinatokankitu zaidi ya VIAGRA ... Salam kwao Tumbi, Ilolangulu, Manoleo, Itaga, Igombe, Misha, Usagali, Kalunde, Masangi, Izimbili, Mabama, Igalula, Igoko, Magili, Goweko, Isikizya, Usule, Kakola ... pia Uyui, Nzega, Igunga, Urambo ... bila kusahau wale Gongoni, Bachu, Kanyenye, Ng'ambo, Isevya, Ipuli, Cheyo, Chemchem, Kiloleni, Mbugani na Tambuka Reli ... Hasa Rufita, Kapembe, Usagara, Liwali, MZA Road, Bachu ....