Kanda ya Ziwa yaongoza WaNEC taifa!

Kanda ya Ziwa yaongoza WaNEC taifa!

Mahenda alipata connection kimchezo akasambaza nguzo za umeme bongo, mara tenda ya nguzo za simu naumeme zambia, mara kateka sadc yote magu akiwa engineer, naona anakuja mchaga derm na nguzo za zege lakini bado sio tishio watagawana riziki
Hivi mmiliki wa derm ni nani?
 
Karne hii mijitu inajivunia ukabila.. Miafrika ina laana ya asili
Asili ya mtu alikotokea huwa inambeba pia hata Marekani mtu akitokea state fulani huwa ananguvuu kumzidi aliyetokea mbali na hiyo state!
Huyu Mahenda kapigiwa kura na watu wa Iringa na kanda ya ziwa anakotokea ndo maana umeona kura zake zimekuwa nyingi kuzidi wagombea wote!
 
Wewe ukisema kanda ya ziwa imetisha sio ukabila ....

Udini Tanzania ni Kwa dini moja tu?madhehebu mengine hakuna shida?
1670468797774.jpeg


Tanzania imeharibiwa na mfumo kristo Ustadhi Mohamed Said aione tunahitaji kusikia maoni yake.
 
Kwa haraka nimewaona Mzee Wasira, Waziri Bashungwa, Chacha Mwita Wambura, Askofu Gwajima,Dr Musukuma, Dr Mabula nk nk

Hakika Mmetisha ila sisi Iringa tumetoa Namba 1 Mzee wa Nguzo na Namba 6 mstaafu Kasesela na sisi tumetisha sana!

Mlale unono!
CCM na ukabila na ukanda haikubaliki.
 
Kwa haraka nimewaona Mzee Wasira, Waziri Bashungwa, Chacha Mwita Wambura, Askofu Gwajima,Dr Musukuma, Dr Mabula nk nk

Hakika Mmetisha ila sisi Iringa tumetoa Namba 1 Mzee wa Nguzo na Namba 6 mstaafu Kasesela na sisi tumetisha sana!

Mlale unono!
Na kwa kuwa idadi ya Wagalatia ni wengi, basi hapo hakuna harufu ya udini.
 
Back
Top Bottom