Kanda ya Ziwa vs Kaskazini

Zamu ni ya wakrito na sio kanda kama mnavyofikiri na itakuwa vigumu kupewa muislam
 
CCM tayari imeshawatia ujinga watu wa kanda ya ziwa sera ya "devide and rule" imeanza kufanya kazi kwa kuwajaza ukanda poleni ila mtakuja kujitambua wakati wenzenu tuko mbali.

Mkuu ukanda upo kwenye magazeti na mitandaoni tu,nilikuwa Geita na sasa nipo Maswa huku hawajashawishika na magufuli hata kidogo,wao wanasema ni wakati wa mabadiliko
 
Kwa kweli nawapongeza sana kuanzia Mwanza, kwasababu sasa hatimaye Chadema imejitambua na kujua kanda determinant za ushindi kwa uchaguzi wa urais Tanzania ni kanda gani, hivyo wameanzia hapa.
Ushauri huu ulitolewa siku nyingi nyuma!. Mwaka 2010 nilipandisha bandiko hili, CCM Imechokwa, CHADEMA Haijajipanga! humo nikasema
Mwaka 2012, nikapandisha uzi huu
Mtazamo: Kanda ya Kaskazini, CCM imechokwa mpaka basi! humo nilisema
Sasa Chadema ndio wanaamka kujua nguvu ielekezwe wapi, huu ni mwanzo mzuri!, tatizo la tonge hilo, waliolishika tonge mdomoni wanajua, jee watakubali kunyang'anywa tonge mdomoni?
P.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…