Kanda ya Ziwa ni Lowassa

Wakaz wa kanda ya ziwa tunakumbuka sana juhud za Edward Lowassa alivyofanikisha kutuletea maji kutoka ziwa victoria baada ya kilio cha muda mrefu, tutatoa shukran zetu kwake tar 25 October...Ziara yake ukanda huu yatakua mafuriko zaidi ya Dar,Karibu shujaa wetu

kanda ya ziwa gan ambayo ililetewa maji na lowasa.????
shameeeeeeee on you
wabunge wa chadema wametufanyia nn ndan yq kipind walichookaa madarakani.??
aibu aibu na cdm airud mwanza tenaaaa
 
Mikoani sina tatizo nako.
Nataka mikoa ya tanga, pwani, dar, lindi na mtwara wawe chini ya ukawa,

Mkuu unaongelea hiyo mikoa iwe chini ya UKAWA baada ya uchaguzi au hivi sasa?
Tafadhali jaribu kufuatilia habari za huko upepo wa kisiasa uko vipi maana hali ni mbaya kwa CCM.
 
Hayo unayasema wewe njoo Kanda ya ziwa uone sio unaongea
Mkutano wa mbunge wa Nyamagana ulizidi mapokezi ya .Magufuri pamoja na kusomba watu. Mimi niko Geita kwa sasa watu hawana habari na Makufuri kabisa hata Chato kwao yuko chini ya CHADEMA kuanzia mkuu wa mtaa mpaka diwani.
 
Nimekuja Kahama hapa Lowasa ndio habari ya Mjini. Mafuriko ya jans Dar tumeyaona kwenye ITV japo umeme ulikatwa siku nzima
 
Nimekuja Kahama hapa Lowasa ndio habari ya Mjini. Mafuriko ya jans Dar tumeyaona kwenye ITV japo umeme ulikatwa siku nzima

Tunasubiria mafuriko yenu huko sasa...dar tumeshafanya yetu kama ulivyoona.
 
Kanda ya ziwa ni chadema tu wakianza mwanza, shinyanga, labda chato mwe wasaliti tu, ika ni km tone la maji baharini
 
Hahahahaha mm huwa nikisoma humu nacheka sana... kampeni anazofanya Lowassa ni zilezileza.CCM kuwaleta watu kwenye vikao, kwalipa, mfano mdogo ni Kutujazia mafuta sisi bodaboda jana... yaan watanzania tunapenda sana vielfu kumi elfu kumi

NAWAZA TU LOWASSA AKISHINDWA CJUI ITAKUWAJE... KUNA MTU ATAZIMIA KAMA KUONGEA KWENYEWE AMAONGEA AKITETEMEKA
 
Juzi kati hapa tulikuwa kwenye semina,
ikaanza kuongelewa mada ya uchaguzi mkuu watu watatu kati ya 30 walikuwa wanaisapoti CCM na 27 hawataki kusikia cha CCM,
na hao ni watumishi nikasema kweli CCM kwishiney mwaka huu.
 
napata maji ya kutosha sana hapa nyumbani ,Lowaa kiboko mwanza tunajinoma njooo tukupokee kuliko dar
 
Wakaz wa kanda ya ziwa tunakumbuka sana juhud za Edward Lowassa alivyofanikisha kutuletea maji kutoka ziwa victoria baada ya kilio cha muda mrefu, tutatoa shukran zetu kwake tar 25 October...Ziara yake ukanda huu yatakua mafuriko zaidi ya Dar,Karibu shujaa wetu

Acha kuropoka mkuu, kanda ya ziwa gani wanawezakuacha kumchagu magufuli wakamchagua lowasa, hatuwezi kufanya upuuzi unaoufikilia, hatuko tayari kupoteza fursa, ungeuliza wananchi usiniletee mambo ya semina, ulitokea wapi kuja mwanza kwenye semina? Au kilimanjaro nn?
 
Binafsi na ndugu zangu alituchomea nyavu ndugu magufuli alivyokua waziri wa samaki.
 
kanda ya ziwa.....wanaelewa na wanajua ccm ilichokifanya....utajili wa ziwa, madini umekuwa hadithi kwa kizazi cha wasukumu.......magufuli ni mtoto mdogo sana....lowassa ndio rais
 
Wakaz wa kanda ya ziwa tunakumbuka sana juhud za Edward Lowassa alivyofanikisha kutuletea maji kutoka ziwa victoria baada ya kilio cha muda mrefu, tutatoa shukran zetu kwake tar 25 October...Ziara yake ukanda huu yatakua mafuriko zaidi ya Dar,Karibu shujaa wetu
mradi wa ziwa Victoria alianza nao mwinyi na mkapa akaumalizia lowasa akiwa waziri sio juhudi Zake bana kila kitu kakikuta
 
wewe ni nan kumkaribisha mwiz kanda ya ziwa!kwa nin usimkaribishe nyumban kwenu ili tuwatenge na uchafu wenu!mijitu mingine sifa tu .....utadhan anamjua lowasa!
 
Back
Top Bottom