ndiyo ataileta
Ushauri wangu kwa watu wa ukanda wa ziwa kabla hamja pokea ahadi mpya naombeni mulize kuhusu meli mbili alizo aidi kikwete. Mkipewa meli hizo basi chagueni ccm
Ccm wanavyo aidi as if hawajawahi kuwa madarakani
Ushauri wangu kwa watu wa ukanda wa ziwa kabla hamja pokea ahadi mpya naombeni mulize kuhusu meli mbili alizo aidi kikwete. Mkipewa meli hizo basi chagueni ccm
Umenena hata monduli wataichagua ccmIvi nyie mnatuona Kanda ya ziwa ni mamburulaaa. Sasa ni sisi na Magufuli tena hiyo kimya kimya Bila Kelele.
Sisi ndo Kanda ya Ziwa sisi HAPA KAZI TU. MAGUFULI HOYEEE! MSIOGOPE NA KUPANIKI. LAZIMA MCHEZA KWAO HUTUZWA. HILO MJUE KABISA KUWA MAGUFULI ATAPATA KURA NYINGI KANDA YA ZIWA NA NDO KWENYE WAPIGA KURA WENGI.