Kanda ya Ziwa ni Lowassa

ni kweli kabisa kwa sasa niko musoma (bwai) hawataki hata kumsikia huyo kiumbe

Sema wewe ndio hutaki kumsikia.Sheria lazima zifuatwe.Kama ikiruhusiwa uvue hao samaki wadogo leo ungekuwa unavua nini.Hata hivyo kuchoma makokoro alikusaidia wewe ndio maana mpaka leo kuna samaki hapo kwenu bwai mpaka huko suguti,Mrangi na kadhalika.Rais ambaye hatazingatia sheria hafai.
 
labda kusini ya hapo lizaboni tu,mtwara hatutaki hata kuiona sura yake huyo makomeo wenu
 
Utafiti wa kilofa na kipumbavu!

 
Mbalia, mbowe, sumaye, lowasa, eat cost, tumeshashutuka cku nyingi, cc ni magufuli tuu
 
WanaJF, salaam!

Hapa naandika nikiwa Nyamagana Mwanza, nimetoka Airport kote nilikopita wakazi takribani 6 kati ya 10 wanasema kwamba MAGUFULI ni mtu wa aina yake kwa roho mbaya. Wamesema kuwa wakati akiwa UVUVI alizamisha boat za wavuvi bila kujali kwamba wavuvi hao wana watoto wanaowategemea. Aidha, katika eneo la Airport wamesema kuwa Wakati akiwa WAZIRI wa UJENZI aliwabomolea nyumba zao bila huruma na kwa fidia kidogo mpaka MIZENGO PINDA alipomwamuru awe na huruma na nyumba hizo.

Kutokana na hali hiyo wamesema kuwa LOWASSA ndiye tegemeo lao na kuwa wako tayari kupiga kura na kuzilinda dhidi ya hujuma mbaya. Wameapa kwamba watamlipa kwa matendo yake
 
Nyumba za serikali zilizouzwa kinyemela zina gharama ya sh?
 
Wasihadaike na wali/shibe ya dakika 10, wafikirie mustakbari wa maendeleo Yao na kizazi kijacho!! Kula kwa Gufuli , kura kwa Lowassa!
 

View attachment 280947
 
Wasisahau wale wanachato waliomwambia shida ya maji akawaambia wakojoe mkojo wao watumie!!!!!!!.

Ninadhani haya yanaweza kuwa ni madhara ya moyo wa plastic aliowekewa.

Ndugu zake wa karibu wanatakiwa wapewe elimu sahihi ya kujua ni wakati gani moyo huo unaamua kwa matashi ya kichina, wakati gani unaamua kwa matashi ya programmer na kama waliutengeneza kwa kuzingatia misingi ya maisha ya ki Tanzania na mila zetu za kupendana na kuheshimiana.

Ninawasiwasi sana na hawa watengenezi wa huo moyo na kwa hilo ninaomba Magufuli asamehewe kwa kila linaloonekana Roho Mbaya kwa kuwa anatumia moyo wa kichina.
 

Kanda ya ziwa la Mama koya au ziwa lipi
 
Ushauri wangu kwa watu wa ukanda wa ziwa kabla hamja pokea ahadi mpya naombeni mulize kuhusu meli mbili alizo aidi kikwete. Mkipewa meli hizo basi chagueni ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…