kanda ya ziwa; madiwani na wabunge - mtashare na ccm na ukawa na ACT
LAKINI URAISI- MTOTO WAKO MWENYEWE UMKATAE ; UMERONGWA.
PESA LETENI ;
URASI MAGUFURI
SIO HIVYO TU; KANDA WA ZIWA KWA MARA YA KWANZA WABUNGE WOTE WATAKUWA WA CCM
DALILI ZINAVYOONESHA .
BIHARAMULO- CCM
ILEMELE - CCM
NYAMAGANA 50/50
MUSOMA = CCM
UKEREWE -CCM
BARIADI - CCM
Mi Naamini Watz Tutachagua Kulingana Na Sera Za Mgombea Husika,lakini Tukubali Tukatae Ukabila Na Ukanda Nchini Bado Upo.Hvo Mikoa Ya Tabora,shinyanga Na Mwanza Bado Itabaki Kua Ngome Ya Maguful Kama Arusha,kilimanjaro Na Moshi Ilivo Ngome Ya Lowassa...Mikoa Hapo Juu Weng Wao Wataangalia Sana Mgombea Kwa Jicho La Ukanda Na Kabila Moja.
aliyekuambia mwanza ni ngome ya magufuri
mwambie amekosea
Hakuna msukuma mjinga ka wewe inaonekana wazi unakula sana mapanki mpaka akili zimeyafanana
Sawa hakuna shida,unatusi jengine au umemaliza?
ahahaha,acha kupaniki!
uku bukoba chikwete alituahidi meli kubwa mbadala wa mv bukoba,bado mwezi mmoja aondoke,meli hajaileta!
maghufuli akija naye akazungumzia meli tunamzomea!
labda kama akija nayo yy mbele meli nyuma tutampa kura,kinyume na hapo-nooo!
Makomeo yeye nikimsikia aongei mikakati aliyo bali kila saa kulalama na failure za utawala uliopita akishindwa kuonesha atakavyofanya atakavyotoka.
Ila watanzania nawaomba acheni kuendekeza ukabira utakuja kutesa wanyonge ambao ndo wengi nchi hii. Kwenye siasa ongea sera na si kabira, ukanda wala dini vikiwageuka siku moja mtaja kujuta. Nimekuwa nikifuatilia chaguzi zote zilizofuata baada ya kifo cha mwl zimejaa mizengwe ya udini, ukabira na kuzushiana na haya huwa yanaibuliwa na chama kinachosema kinauzoefu wa kuongoza. Mimi huwa najiuliza aina ya huu uzoefu
mmeunda chama cha kikanda mmeona kura za kwenu haziwatoshi mnatafuta sehemu ya kuongezea kura ili mkamilishe ndoto zenu lakini hakuna la maana lolote, tuacheni na magufuli wetu, wahenga wanasema zimwi likujualo halikuli likakwisha,
katoro,mamvi tu
aliyekuambia mwanza ni ngome ya magufuri
mwambie amekosea
Tumejiapnga wenyewe mtaisoma.
Kwahiyo wewe unajua mwanza ni ngome ya mmasai basi wewe umelogwa zaidi tusimpe wa huku tumpe mmasi subiri uone.
magufuli si msukuma, ila ni mzinza..Kanda ya ziwa tumeshtuka. hatumchagui chifu bali rais. na rais ni lowassa na wabunge wa ukawa.
Mkuu nakubaliana nawe lkn hili Neno "Mungu"umelitumia vibaya..naomba usirudie tena.Nakama CCM wanategea kuja kanda ya Ziwa imekula kwao,huku Nyerere,Wenje,Mawazo na Kasulumbai a.k.a Mungu wa Maswa mpaka wanaendelea kupaharibu,hata EL nikuja kusalimia tu.