Ninakusikia ndugu yangu. Lakini hawa Wasukuma naoni ni uvivu tu mbona shuleni wengi tu walikuwa na akili?
Akashube,kanda ya Ziwa inaweza kuwa na Phd nyingi halali ,at the same time kuwa na Phd feki .Sioni hoja yako.
Hakuna uhusiano wowote wa mtu kuwa Msukuma na kuwa na PhD feki. Sielewi hoja unayotaka kuijenga hapa. Angalia pia wote ni wakristo, unasemaje juu ya hilo? Kwanini hukuandika wakristo na PhD feki? Hilo ni tatizo la mtu bianafsi maana hawakutumwa na kabila. Jenga hoja yenye mantiki
kabila lililo na watu wengi Tanzania ni wagogo, wanyakyusa,wadengereko, wakwere,wazaramo,wahehe, wakinga, wafipa na wahindi. Nami nashangaa sana wasukuma ni wachache sana na ndiyo wanaongoza kwa hizo feki. wengine wote PHD zao ni za kweli. Tuwasaidieje wasukuma hawa waweze kupata PHD za kweli?
Emmanuel Nchimbi, naye fake,
....
Je, hawa wote wanatoka kanda ya Ziwa?....
Mubi,kabila lililo na watu wengi Tanzania ni wagogo, wanyakyusa,wadengereko, wakwere,wazaramo,wahehe, wakinga, wafipa na wahindi. Nami nashangaa sana wasukuma ni wachache sana na ndiyo wanaongoza kwa hizo feki. wengine wote PHD zao ni za kweli. Tuwasaidieje wasukuma hawa waweze kupata PHD za kweli?
Jasusi ,u kiangalia Nagu ,Nchimbi au Mkulo hawatoki Kanda moja au kabila moja,angalia
idadi ya hawa wasukuma wenye Phd feki,ulinganishe na watu wote wenye hizi Phd tanzania,utakuta wanaongoza
hoya hoya hoya ... mpambano uanze sasa kati ya watu wa kanda ya ziwa na wale wa baharini ili kujua nani ana PhD nyingi "halali"
Si umeona Tumaini anakuja na gia kwamba wakristu ndo waongoza kwa PHD feki(eti kwa kuiangalia orodha hiyo hapo juu)...Huyu jamaa yeye na udini damdam...Btw,habari za masiku mkuu,ulipotea sana
jee ni wale Malecturer wa Mzumbe ambao wanafika tisa ni kabila gani?Mzee wangu Jasusi naona umeweka kigingi kigumu; hata hivyo kila nikiangalia tena statistics, naona kama ni kweli kuwa kanda ya Ziwa iongoza kwa hizo Ph.D feki. Kumbuka kuwa mtoa mada hakuunganisha wengine kama Profesa Waryoba wa mzumbe na Dr. Deodatus Kamala.
Mimi ninadhani kuwa tatizo hilo la Ph.D feki lilianzishwa na huyo Profesa Waryoba hapo Mzumbe kwa vile ndiye aliyekuwa Mkuu wa Chuo. Baada ya hapo ndipo feki hizo zikasambaaa na kuingia umoja wa vijana kwa kupitia akina Nchimbi na Kamala. Huko Umoja wa Vijana zikawaambukiza akina Masabauri na Nangale. Masabauri yeye akamwambukiza kaka yake Mahanga, wakati Nangale naye akamwambukiza ndugu yake huyu Dialo. Kwa mtindo huo wa kuambukizana, inawezekana idadi ikazidi kuongezeka kwa kasi zaidi katika hiyo kanda ya Ziwa.
ilibidi ajifiche kwani ule moto aliowashiwa na Mtanzania ilikuwa noma tupu na thread ikafutwa kwa haraka. muulize Mtanzania atakupa habari zake.Si umeona Tumaini anakuja na gia kwamba wakristu ndo waongoza kwa PHD feki(eti kwa kuiangalia orodha hiyo hapo juu)...Huyu jamaa yeye na udini damdam...Btw,habari za masiku mkuu,ulipotea sana
ilibidi ajifiche kwani ule moto aliowashiwa na Mtanzania ilikuwa noma tupu na thread ikafutwa kwa haraka. muulize Mtanzania atakupa habari zake.
kama haukuwa moto mbona ulikimbia na kulazimisha thread ifutwe? karibu ndugu Mawazo toka Itumba.Bwa ha ha ha,
Kinamzuia nini mtanzania kuwasha tena huo moto (kama upoooo!!!!).
kama haukuwa moto mbona ulikimbia na kulazimisha thread ifutwe? karibu ndugu Mawazo toka Itumba.