Kanda maalum ya ushirikina

Pamoja na utaalamu wao wote wameshindwa kuwajua wauaji wanaotusumbua zaid ya kufitinisha ndugu ndo wanachokiweza na si ya maendeleo
 
Morogoro Kuna kijiji wana mahakama ya wachawi inahukumu ukiloga,wazee wanakupima unakili kosa mwenyewe ....wenyewe wanasema mahakama ya kimila.
kinitwaje" hicho kijiji""?
 
Kumbe Mheshimiwa Rais haujui ukweli wa chanzo cha ajali, anaonea tu watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…