mme wake ni mmegaji sana wa nje,
Ndo maana unatafutwa wewe sasa maana mumewe inaelekea hana time na yeye. Pengine mkeo kila siku haishi kukusifia ofisini bidada roho inamuuma tu ana wish angepata wasaa na wewe. Kama unataka chunguza lakini have an open mind. Mwanamke mwenye kujiheshimu aliyeolewa na yeye asingetoa kauli kama hiyo kwako tena katika kipindi kifupi cha huo u-facebook friendship akijua wazi inaweza kuleta madhara katika ndoa yenu. Jiulize, nia yake nini... kujengaaa au kubomoa? Akili za mbayuwayu changanya na za kwako...!
sawa mkuu.
Picha ya moja kwa moja ni kwamba anataka kumkomoa bosi wake.....Kua muangalifu wanawake wadanganyifu mara nyingi huanza kua na jeuri kwa waume zao(kama mkeo ni mtu mwenye hishima na kukuthamini huna haja kuanza kujitia presha...wanawake ni wagumu kuhandle wanaume wawili au watatu bila kubadilika tabia...lazima kijeuri kitaaanza kujitokeza tu...si unajau akili zao zilipo?)...Chunguza mabadiliko ya tabia ya mkeo kaka na achana na vitimbi vya kike!
alianzaje kukuuliza habari za mkeo!na kwa nini msiongee mambo yenu!na wewe unakubari kumjad ili mkeo na mwanamke!!
"Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa"
Pole sana,MSINGI WA NDOA NI UAMINIFU.inaonyesha ni kiasi gani umeuamini huo mchepuko wako mtarajiwa wa facebook.Nini maana ya ndoa kama umeweza kutingishwa kirahisi hivyo na mtu tu from no where?!!
Wewe mgegede tu huyo ila mwambie habari za mke wako hazimuhusu,maana hapo wote wawili mnatafuta justification ya kugegedena tu hamna lolote.Huna sababu ya kumchunguza mkeo caz haitokusaidia kitu halafu hata hivyo na wewe pia msaliti sababu huwezi kuanzisha tu ukaribu na mwanamke mpaka mfikie hatua ya kumjadili wife wako,kwahiyo kama mke anachepuka hapo ni ngoma draw.