Kanali Muammar Gaddafi (1942 - 2011)

Naona mweny mtandao jf katema cheche
Nikitema Mimi hamnisikiliz
Pumbafu[emoji85] [emoji85]
 
We jamaa unajua ..ww ndio ulio nivuta niingie jamii forum ..big up sana kaka
[HASHTAG]#kwel[/HASHTAG] wa africa aliyeturoga daah [emoji41] yote aya bado wakamtenda vile
Shukrani sana mkuu! Tuko pamoja..
 
Mkuu the bold hongera sana,huwa sichoki na mabandikoyako hapa jf,plz nitag hapo kesho ukianza nnhwe ya pili na yamwisho,pia naimbi kama utakubali weka no yako hapa au pm tukupatie vocha au kahawa kidogo
Shukrani mkuu... 0718 096 811
 
Nimeipenda sana Shukurani sana MKuu The bold 🙂🙂
tuko pamoja sana umechambua kwa umakini sana nimekuelewa
hakuna kiongozi wa Leo anae weza kafanya kama huyu jamaa
 
The Bold ,
Heshima kwako mkuu,

Umenikumbusha mbali sana kuhusu OMARY AL MUKTAH, I was a little boy at that moment,
Kumbe huyu jamaa alikuwa anatokea LIBYA,
Sikufahamu kabisa aisee,
CHUKUA LIKE MKUU kama ishara ya heshima yangu kwako.
Shukrani sana mkuu! Salute
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…