Kanali Muammar Gaddafi (1942 - 2011)

Kumbe mapinduzi ni rahisi kiasi hicho??? Kwa hapa bongo redio inayosikilizwa sana ni EFM so ukienda pale unamaliza kila kitu[ natania lakini]

Naona, Mabepandwe, inakuita Kwa sauti ya upoleeee!!
Ila, nikuhakikishie kabla hujatimiza azima yako hiyo, kuny'ofolewa viungo hivi meno, kucha na ngozi ya tumboni bila ganzi itakuhusu moja Kwa moja iseeeh!!
 
huyu alipiga ukristo marufuku libya afe kabisa

Sasa, alipopiga marufuku Ukristo Libya wewe huko Tanzania au kokote kule uliko umepungukiwa nini!?

Acha utumwa na habari za hizi dini za kigeni,

Binafsi, sina hizo dini uchwara za kigeni na bado na dunda tu.

Angalia Gaddafi alivyofanya maendeleo na alichofanyia nchi yake. Ila, wapumbavu hao hao wa dini iyo hiyo aliyoitetea huko Libya wakamuua!!

Hapo , ndipo ninapoona na kuachana kabisa na hizi dini uchwara.
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Safi sana
Although he is dead, our stance remains the same – that the fighting in Libya was wrong in the first place, and that it is going to be a big challenge to bring that country together. by Bernard Membe
 
Niongeze hapo please
 
Kwann uwanjime watu uhuru wa kuabudu wamuuwe kabisa shetani mkubwa
 
Kwann uwanjime watu uhuru wa kuabudu wamuuwe kabisa shetani mkubwa

Aiseeeh ,,,

Hizi dini za kigeni kwa kweli tunahitaji kujitathimini tunakoenda.

Binasfi, Sitaki huo ujinga wa kumuona mwanadamu mwenzangu kuwa hafai Kwa sababu ya huu utumwa wa dini za kigeni.

Na hata marafiki zangu nikiona mtu ana hizo tabia za udini najiondoa kwenye hiyo network Sipendi ujinga mimi wa kitumwa na ukoloni huo wa kujiona bora Kwa majina ya dini za kigeni na wakati Kwa kingereza na kiarabu Kwa mfano majina hayo yote ni sawa Ila tatizo ni lugha tu.

Mfano, Yahya ni sawa na John,/Yohana, Issa ni Jesus /Yesu. Ibrahim na Abraham. Tatizo ni lugha tu huyu ajiita Kwa kiarabu mwingine kingereza mtanzania Kwa Kiswahili ila kila kitu ni sawa kabisa.
Sasa, akili ndogo zote na elimu za fa fa fa fa mnawaona wasio dini yako kuwa hawafai.

Acha kabisa hizo story za kitumwa na dini za kigeni.

Njoo tena nikupe nondo ili upone na uachane na huo upoyoyo na uvuvuzera wa kidini!!
 
Kila kitu hapa tanzania ni cha kigeni
 
Kila kitu hapa tanzania ni cha kigeni
 
Kila kitu hapa tanzania ni cha kigeni

Aaah, sasa naona sindano na dawa vinakuingia vizuri.


Sasa tumia jambo ilo hilo , kukutoa katika utumwa wa dini za kigeni huo uliokufunga akili zako hadi ujione kuwa ukristo au uislamu ni bora kuliko kundi au imani zingine.

Hebu, jiulize, mbona ukivaa viatu vya mokasi na mwingine akavaa raba mbona tunaheshimiana mitaani!
Kwa nini , kwenye dini tuonane vile , hivi au hii haifai ile yafaa!!

Basi, chukulia dini nazo vivyo hivyo kama kitu cha kawaida na siyo kitu cha kuleta misuguano, utofauti na hadi vita na mapigano .

Tunahitaji, jamii iliyostaarabika na kuelimika na siyo wafia dini uchwara hizi za kigeni.

Kwa hiyo, jitathimini na uache huo ubaguzi wa kidini.
 
Ghadafi ni mmoja wa my role modes na niliumia sana namna alivyotendewa. Kila nikisoma habari zake moyo wangu unaumia sana kwa alivyosalitiwa.

Kweli kitu huwa kizuri ukikipoteza tena hasa kwa upuuzi.

Asante The bold.
Pamoja sana mkuu Jumong S
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…