Kanali mstaafu machibya na shamba la mfano. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kanali mstaafu machibya na shamba la mfano.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Kubingwa, Jan 13, 2012.

 1. K

  Kubingwa JF-Expert Member

  #1
  Jan 13, 2012
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 502
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mkuu wa mkoa wa Kigoma,amesema kila kiongozi mkoani humo kuwa na shamba la mfano.
  My take:Tanzania nzima viongozi wote wakiwa na mashamba ya mfano,hii nchi itapiga hatua sana badala kila kiongozi kujilimbikizia hela benki na majumba na mapori badala ya mashamba na kulima.


  Source:TBC1
   
Loading...