Kanali Mjengwa alia na demokrasia

Mwaka 2010 Mjengwa alikuwa Mkuu wa wilaya ya Mbinga.
Dr.Slaa alikuja Mbinga kupiga kampeni kesho yake Mjengwa akawauliza wasaidizi wake "nasikia Dr.Slaa hakupata watu wengi kwenye mkutano wake" huku akitabasamu wasaidizi wake nao wakamjibu kweli hakupata watu wengi.
Mjengwa alifanya mengi akiwa DC ambao yaliwanyima haki upinzani.
Hata hivyo kila zama na kitabu chake nakutakia mapumziko mema Mzee wangu Kanali mstaafu Edmund Ramadhani Mjengwa.
 
Lawasa
Kingunge
Sumaye.
Wazee hawa wangekua bado wapo ccm,wapinzani wangeachwa wafanye mikutano yao kama kawaida,hata bunge lingeonyeshwa.
Lakin kitendo chao cha kuhama chama wakati wanajua kabisa walishashikaga nyadhifa za juu kabisa serkalini ukiwaacha wabwabwaje majukwaani,watahatibu nchi.
 
Kanali Edmund Mjengwa ananikumbusha enzi hizo akiwa mbunge wa mbalali!! Sikumbuki nani alimnyang'anya tonge la Ubunge na kuishia kupewa ukuu wa wilaya wakati huo akiwa alishajitoa Jeshini.
 
Watu hawawezi kula democrasia.

Mnawashindisha juani watoto wa watu kuwahubiria upuuzi na mabadiliko hewa alafu nyie baada ya hapo mnajilipa posho nono kwa kuhutubia mkutano wa hadhara!!!

Siyo vyama vya upinzani tu hata ccm wenyewe wamezuiwa kufanya hayo.

Hata hivyo mmiliki wa chadema Lowasa amempongeza rais kwa kuruhusu mikutano ya ndani tu.
Mkuu watu hawawezi kula democrasia ila wanaweza kula pesa za rambirambi eeh??
 
Back
Top Bottom