PostGE2025 Kanali Augustino Polepole asipuuzwe

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Huyu naye hana lolote mtu wa kufanya kweli hana tantalila nyingi kama kweli analo la kufanya sasa hivi nyumbani kwa Mafwele na Wambura kungekuwa kumefungwa turubai wauaji wenzao wanaomboleza.
 
Kila kitu ni mikakati mkuu.Anapambana na serikali na sio mtu mmoja , kwa kifupi anapambana na mtandao mkubwa sana . haiwezi kuwa rahisi but with time , Kila mpango wake utakamilika
 
Nimesikiliza kwa umakini na wivu mkubwa ujumbe wa mwisho toka kwa afande kanali , ndugu Augustino polepole.

Huyu ni mtu ambae ni wazi Hana Tena cha kupoteza. Nafikiri ni ndugu ambae aliapa kulinda familia ya baba yake kwa gharama ya damu yake. Mtu huyu pia ni askari jeshi ambae masilahi yake yameguswa."He wears a soft smile and his words fall like calm rain, yet the soldier within him bleeds where no one sees". kwa kifupi yeye ndie binadamu hatari zaidi dhidi ya watawala batili wa Tanganyika sasa.

Kanali Augustino, ameapa kulipiza kisasa hadharani, na mkaa Bure sio sawa na mtembea hovyo.Hivyo niwazi kanali ataleta simanzi kwa baadhi familia za watawala batili wa Tanganyika.

Mtu huyu hodari , niwazi anajua anachokifanya na nina uhakika kwa kipindi chote l ambacho tulikua tunamuona kama lopolopo, ama apeche alolo asiyekua na mipango. Yeye alikua ana mobilize kikosi kazi chake na sasa ni wazi amejipanga vyema na yuko tayari kwa mapambano.

Ikumbukwe, siku tatu nyuma mange kimambi aliongea kuhusu mpango mkakati ulioko jeshini, na akasema hatozungumza chochote ili asiwafaidishe Samuya na Genge lake kupata info nakufanya counter pressing
.Lakini alionya kwamba December inaenda kua ya damu kwa watawala batili wa Tanganyika.

Hivyo binafsi nashawishika kusema, kile chakula cha moto na damu kilichokua kinapikwa nyuma ya pazia ni wazi kimeiva. And very soon kinaenda kupakuliwa na mpishi kiongozi Kanali Augustino Polepole..

Adioooossss!!!!!!!!!!
Sahivi ndo nimekumbuka sisee mange aliongea kwa code sn alijutahid kuficha i lkn tulielewa
Ss nime connect aisee
 
Kila kitu ni mikakati mkuu.Anapambana na serikali na sio mtu mmoja , kwa kifupi anapambana na mtandao mkubwa sana . haiwezi kuwa rahisi but with time , Kila mpango wake utakamilika
Kabisa nashangaa watu hapa ooh anaongea sn
Si bora ht anaeongea na sura hajaficha kuliko hapa kazi kulalamika wanaume wazima
 
Nimetoka kuongea Jambo hili kama mtoa mada ulivyosema , wabongo wengi naona bado hawajui mambo haya.
Huyu jamaa hatakuja tena kuongea hadharani mpaka alipize kisasi ni Jambo gumu Sana kaongea huyu jamaa na hata kama itachukua miaka 5 mbele lazima atakuja kufanya balaa kubwa Sana

Kwa wale ambao wametajwa kwenye list yake wataishi Kwa mashaka sana
 
Umesema vyema..yaani hicho ni kisasi cha kizazi na kizazi .watu wanafikiri atafanya kesho au keshokutwa but with time jamaa atafanya kweli kama Mungu akimpa uhai..And he's not acting alone kama ilivyokua kwa polepole ..Ninauhakika alikua mjumbe wa kwanza kabisa katika mipango ya polepole na tayari walikua wamejipanga kijeshi
 
sidhani kama alimaanisha unavyosema hapa, alichomaanisha ni kua baada ya masaa 24, muda wowote ataanza kula vichwa, yaweza kua after a week, month etc, kutegemea ni wakati gani kaona target
[/QUO
Mtanzania wa kawaida pengine hawezi kujua mambo haya ya kulipiza kisasi Ila Kwa watu waliopo Huko kwenye mfumo lazima wachukue tahadhari kubwa Sana haijalishi itachukua kipindi gani Ila lazima damu itamwagika Tu labda akamatwe kabla ya mpango wake kutimia
 
Nimetoka kuongea Jambo hili kama mtoa mada ulivyosema , wabongo wengi naona bado hawajui mambo haya.
Huyu jamaa hatakuja tena kuongea hadharani mpaka alipize kisasi ni Jambo gumu Sana kaongea huyu jamaa na hata kama itachukua miaka 5 mbele lazima atakuja kufanya balaa kubwa Sana

Kwa wale ambao wametajwa kwenye list yake wataishi Kwa mashaka sana
Inakua kama lile muvi la Rambo first blood series

FIRST BLOOD SERIES.
KUNA ILE MOJA RAMBO ANAPELEKWA UWANJA WA VITA...ILE ANASHUSHWA KWENYE NDEGEEE...PUNDE ILE NDEGEEE INA GEUKA NA KUANZA KUMSHAMBULIA...
 
Back
Top Bottom