Ipi sasa ni njia salama ya kuiendea kwa majira yajayo mkuu?Nendeni youtube muangalie uasi unavyokuwa kwa kuangalia Liberia kama mfano.
Inafika wakati watoto wadogo wanaona fahari kucheza na silaha na kuua.
Kesho naona nitaamka vizuri sana kuliko siku zote..Hivyo binafsi nashawishika kusema, kile chakula cha moto na damu kilichokua kinapikwa nyuma ya pazia ni wazi kimeiva. And very soon kinaenda kupakuliwa na mpishi kiongozi Kanali Augustino Polepole..
Kuanzia kesho 28 Nov kuelekea 9 Dec kaa kwa kutulia maana kimeanza kunuka mapema watu wanataka mpaka inafika Dec 9 nyumba ishafagiliwa na takataka zote zimeshaondolewa kilele cha fagiafagia kiwe Dec 9 ndio funga kazi..Kila uzi naosoma unanitisha sina hata imani ya kutembea tembea huko mtaani guys acheni hizo basi 🥹
We Mjinga kutoa taarifa ni muhimu sana, asingefanya hivyo madhara yakitokea kesi wangepewa CDM na Lissu.Ashauriwe kujiepusha kusema sema, Simba mwenda pole ndiye mla nyama
Ipi sasa ni njia salama ya kuiendea kwa majira yajayo mkuu?
Hakuna kanali mwenye muda wa kuongea ongea hovyo mitandaoni kama Content creator. Mjeshi huwa anatoa kauli moja halafu kinachofuata ni matendo.Nimesikiliza kwa umakini na wivu mkubwa ujumbe wa mwisho toka kwa afande kanali , ndugu Augustino polepole.
Huyu ni mtu ambae ni wazi Hana Tena cha kupoteza. Nafikiri ni ndugu ambae aliapa kulinda familia ya baba yake kwa gharama ya damu yake. Mtu huyu pia ni askari jeshi ambae masilahi yake yameguswa."He wears a soft smile and his words fall like calm rain, yet the soldier within him bleeds where no one sees". kwa kifupi yeye ndie binadamu hatari zaidi dhidi ya watawala batili wa Tanganyika sasa.
Kanali Augustino, ameapa kulipiza kisasa hadharani, na mkaa Bure sio sawa na mtembea hovyo.Hivyo niwazi kanali ataleta simanzi kwa baadhi familia za watawala batili wa Tanganyika.
Mtu huyu hodari , niwazi anajua anachokifanya na nina uhakika kwa kipindi chote l ambacho tulikua tunamuona kama lopolopo, ama apeche alolo asiyekua na mipango. Yeye alikua ana mobilize kikosi kazi chake na sasa ni wazi amejipanga vyema na yuko tayari kwa mapambano.
Ikumbukwe, siku tatu nyuma mange kimambi aliongea kuhusu mpango mkakati ulioko jeshini, na akasema hatozungumza chochote ili asiwafaidishe Samuya na Genge lake kupata info nakufanya counter pressing
.Lakini alionya kwamba December inaenda kua ya damu kwa watawala batili wa Tanganyika.
Hivyo binafsi nashawishika kusema, kile chakula cha moto na damu kilichokua kinapikwa nyuma ya pazia ni wazi kimeiva. And very soon kinaenda kupakuliwa na mpishi kiongozi Kanali Augustino Polepole..
Adioooossss!!!!!!!!!!
malcolm lumumba alisema kila upande mpaka upate madhara ndio maridhiano yatawezekana. Nilimwelewa sana.Kila uzi naosoma unanitisha sina hata imani ya kutembea tembea huko mtaani guys acheni hizo basi 🥹
Wamechomewa pampu tu za petrol stations na mabasi tu mapovu mengi.Walinde sana familia zao!
Angekuwa ameuliwa mwanafamilia wao sidhani kama wangekuwa wanatoa majibu ya shombo namna hii!
View attachment 3508258
Kesho kuanzia saa 3 majira ya asubuhi masaa 24 yatakua yamekwisha..Kama kanali hakuweza ku sense danger Hadi brother anachuiuliwa kama kuku wa mdondo it's a shame kwake kutoa vitisho!
Siasa ilipewa mapato makubwa sana kuliko uhalisia wa kazi wanazofanya katioa jamii!!
Niamini deep state!?au Red cross!!?
Nini tena!!?
Au nchi za Africa hazina deep state!!?
Aiseh
Nipo nacheki ottoman hapa!anakinukisha kinoma noma ,nadhani kanali atakinukisha hivi hivi au!!?Kesho kuanzia saa 3 majira ya asubuhi masaa 24 yatakua yamekwisha..
Subiri kukuche ndio uongee.. wenzio walianza kuwatukana waandamanaji October 29 saa 2 asubuhi wakasema kikowapi qumanyoko saa 3 na nusu watu hawa hapa kuna mwandishi mmoja anasema hata hajui watu walipotokea aliona tu watu wanakuja km mvua au kimbunga na kuanza kufanya yao.. utulie muda sio rafiki atakufunza mambo mengi.. zingatia hilo muda sio rafiki wa mwanadamuHakuna kanali mwenye muda wa kuongea ongea hovyo mitandaoni kama Content creator. Mjeshi huwa anatoa kauli moja halafu kinachofuata ni matendo.
Mnakumbuka bwana Mkunda alitoa kauli moja ya kuita waandamanaji wahalifu, kilichofuata baada ya ile kauli ni mauaji ya halaiki mfululizo.
Kanali kasema anakula vichwa km bodaboda.. ataanza na samuya kisha ataruka na Ritz kabla hajamfuata BRN T halafu Jumanne kisha anaenda kumalizana na Faustine bila kumsahau dogo Dulli.. nadhani mpaka muda huu watakua washamfikisha HP kwa mama yake Segerea ili yasije yakawakuta makuuNipo nacheki ottoman hapa!anakinukisha kinoma noma ,nadhani kanali atakinukisha hivi hivi au!!?
Fafanua mkuuHiv mnajuwa zile drones zinazotumika na ukraine kushusha viazi moto kwa majeshi ya Urusi