RESILIENT KATO
JF-Expert Member
- Aug 21, 2024
- 3,667
- 6,909
Anamaanisha eti wahuni wajaindae kudaka viazi wapike kachori yaani!Fafanua mkuu
Anamaanisha eti wahuni wajaindae kudaka viazi wapike kachori yaani!Fafanua mkuu
Hiyo itakuwaaa safiiiiiiAnamaanisha eti wahuni wajaindae kudaka viazi wapike kachori yaani!
Kila kitu kinaenda kwa mipango, we unahisi kila jambo ni la kukurupuka tu.Huyu naye hana lolote mtu wa kufanya kweli hana tantalila nyingi kama kweli analo la kufanya sasa hivi nyumbani kwa Mafwele na Wambura kungekuwa kumefungwa turubai wauaji wenzao wanaomboleza.