mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 1,413
- 5,150
Nimesikiliza kwa umakini na wivu mkubwa ujumbe wa mwisho toka kwa afande kanali , ndugu Augustino polepole.
Huyu ni mtu ambae ni wazi Hana Tena cha kupoteza. Nafikiri ni ndugu ambae aliapa kulinda familia ya baba yake kwa gharama ya damu yake. Mtu huyu pia ni askari jeshi ambae masilahi yake yameguswa."He wears a soft smile and his words fall like calm rain, yet the soldier within him bleeds where no one sees". kwa kifupi yeye ndie binadamu hatari zaidi dhidi ya watawala batili wa Tanganyika sasa.
Kanali Augustino, ameapa kulipiza kisasa hadharani, na mkaa Bure sio sawa na mtembea hovyo.Hivyo niwazi kanali ataleta simanzi kwa baadhi familia za watawala batili wa Tanganyika.
Mtu huyu hodari , niwazi anajua anachokifanya na nina uhakika kwa kipindi chote l ambacho tulikua tunamuona kama lopolopo, ama apeche alolo asiyekua na mipango. Yeye alikua ana mobilize kikosi kazi chake na sasa ni wazi amejipanga vyema na yuko tayari kwa mapambano.
Ikumbukwe, siku tatu nyuma mange kimambi aliongea kuhusu mpango mkakati ulioko jeshini, na akasema hatozungumza chochote ili asiwafaidishe Samuya na Genge lake kupata info nakufanya counter pressing
.Lakini alionya kwamba December inaenda kua ya damu kwa watawala batili wa Tanganyika.
Hivyo binafsi nashawishika kusema, kile chakula cha moto na damu kilichokua kinapikwa nyuma ya pazia ni wazi kimeiva. And very soon kinaenda kupakuliwa na mpishi kiongozi Kanali Augustino Polepole..
Adioooossss!!!!!!!!!!