Kamwe usimwamini mwanasiasa.

Kamwe usimwamini mwanasiasa.

Alloyce PR

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2020
Posts
833
Reaction score
897
USIMWAMINI MWANASIASA.png
 
Kuna haja ya siasa kupigwa marufuku na hivi vyama vyote vya siasa ikiwemo CCM visiwepo na watu wake wote wapigwe marufuku kujihusisha na siasa baadala yake tuwe na nation Committee yenye wajumbe wasiozidi 300 ambao ndio watakuwa wanapiga Kura kuchagu rais kupitia vetting na vigezo vikali vilivyowekwa ikiambatana na kiapo cha damu cha uzalendo na wajumbe wote pia wawe na hicho kiapo.

Bunge lisiwe tena linatokana wabunge wanaochaguliwa bali liwe ni matokeo ya kura ya bodi za majimbo zenye wajumbe wasiopungua 20 wenye viapo vya damu na watu wenye misimamo mikali.

Nitaendelea nikipata wasaa.

Sauti ya Mtanzania,

Ndani ya mitaa ya Baidoa - Somalia.
 
Back
Top Bottom