Kamwe usilazimishe mahusiano/ndoa

Amina mkuu
 
Uchumba sugu siku hizi ndo fasheni, mwanaume anakwambia bado hajajipanga!

Mwanaume wa hivo ni kumuacha bila kumwambia yaani unamgeuza mshkaji hata siku anakwambia NAKUPENDA LAKINI SIWEZI KUKUOA ,hata haiumi kivile sana sana unachekelea rohoni!
[emoji15] [emoji115] [emoji87] [emoji3]
 
That's too much lakini endelea kujitafakari
Ni vizuri wakati unasubiri kuwa na kitu cha kuku keep busy! Huyo wa miaka saba wanapeana kampani wakati wanasubiri wenza wao wajee!!![emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Mapenzi hayaana formula vile sio lazima watu waish kama wengine wanaavotaka kila mahusiano ni vile walivojipangia na maisha yao ya kimahusiano. Kuna watu wamekaa miaka na miaka na wamekuja kuoana ...so msijaribu kuwakatisha tamaa wale waliokaa mda mrefu pamoja ndivo walivojiwekea na zaidi hatuez ishi maisha wote sawa. Kila wapenz wana utaratibu wao aka katiba yao. Tusiishi kwa mazoea.
 
Babu anamchoma choma mama na hizo ndevu zake
 

maneno matamu sana haya laiti tungeweza kutambua hayo.....asante
 
Ilo nalo neno nina boyfriend ni mwaka Wa saba huu, hata nyumbani kwao hataki kunipeleka, najuana na marafiki zake tu..najipa moyo eti namsubiri akiwa tayari ila naona muda kwake haufiki..nazeeka buree...mambo haya magumu sana

daaah miaka 7 mtoto amezaliwa nakwenda shule......hebu mkae muyaongee maana mwisho wake utaumia sana.....anza kujianda kisaikolojia ukitamkiwa ndoa au akikuacha basi uweze kulipokea bila kukuumiza
 
Ilo nalo neno nina boyfriend ni mwaka Wa saba huu, hata nyumbani kwao hataki kunipeleka, najuana na marafiki zake tu..najipa moyo eti namsubiri akiwa tayari ila naona muda kwake haufiki..nazeeka buree...mambo haya magumu sana
Hahahaaaaa1
Pole sana asee Mdad
 
 
marry me[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]!!!
I wnt to marry u lkn sasa unanizingua kwa sababu unajua nakupenda sn
 
Uchumba sugu siku hizi ndo fasheni, mwanaume anakwambia bado hajajipanga!

Mwanaume wa hivo ni kumuacha bila kumwambia yaani unamgeuza mshkaji hata siku anakwambia NAKUPENDA LAKINI SIWEZI KUKUOA ,hata haiumi kivile sana sana unachekelea rohoni!
Acha tu nilikaa na my first luv good seven yrs mpk ndugu wanamjua ndani ya mwaka nikaolewa na mwingine!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…