Kamwe usikimbilie kumwoa mwanamke aliyeachwa.

Kamwe usikimbilie kumwoa mwanamke aliyeachwa.

ver true.. mi mwenyewe kuna x wangu wangu.. kila tukikutana lazima tubanjuke tu..!
 
Mwanamke aliyeachwa ni Kapi kwa mwanaume aliyemuacha, hivyo hafai kuwa mke tena.
 
Kama ishu ya single mothers akikutana na mzazi mwenzi ,anatiwa upyaaaaaa
 
Sio wanawake tu hta wanaume.
# Hana mapenzi ya dhati na wew
# haoni shida kukuacha,
#hathamini mapenzi yako.
 
Mara nyingi utakuta mwanaume kujiingiza kwenye mahusiano na mwanamke aliyeachwa na mume wake. Hii tabia si nzuri na ni hatari sana. Kwanza kabla hujafanya hivo, chunguza sababu ya wao kuachana ni nini.
Maana endapo chanzo ni mwanamke nawe itakula kwako. Pia mwanaume akijua una mahusiano na mke wake anaweza kujua kuwa wewe ndo ulikuwa chanzo cha ndoa yake kuvunjika.
Lakini hatari kubwa mwanamke yeyote aliyeachika huwa na chembe ya sumu ndani ya penzi lake Kwa sababu kuu tatu;
I.Hataona taabu kukusaliti wewe
II.Hufanya maamuzi ya hovyo kwenye mahusiano.
III.Muda wowote anaweza kurudiana na mume wake na hata wasiporudiana wakikutna lazima wafanye mapenzi tu kwa kuwa kila mmoja anajua mwili wa mwenzake.
Kwa maana hiyo kuwa makini kuingia kwenye mahusiano na mwanamke aliyeachika.
tabia za mtu watu wametoa wake vijijin na bado wanapigiwa
 
ver true.. mi mwenyewe kuna x wangu wangu.. kila tukikutana lazima tubanjuke tu..!
pia hata wa kwako akikutana na x wake nae wanapiga tu so hakuna mjanja ktk haya mambo cha msingi kuepuka maginjwa tu
 
Tatizo ni pale mtu anataka kutakatifusha mambo ili yaende ka atakavyo. Kuachika maana yake ni nini?? Kama nikimlala bint bikra nikamrudia tena maana yake ni kwamba nilikuwa naye kwa kitambo fulani. Sasa kwa kuwa sikumuoa nilimwacha. Hivyo naye kaachika.
Mwanamke akiisha jitoa kimwili akampa mwanamume raha yake, huyo tiyari kaungana naye. Asipomuoa alimwacha. Tutahesabu wangapi?? Mke ni yule mnayeweza kuelewana mkaendesha maisha kwa kuvumiliana. Bila uvumilivu, hakuna maisha ndani ya nyumba.
 
Hapo inategemeana na msimamo wa mwanamke au mwanaume husika...mi napokaa mkuu naishi na manzi wangu wa zaman tunaheshimiana sana.....na ni mke wa mtu sasa
 
Hii thredi ni sawa pia na kumuoa mwanamke ambaye sio sealed.
 
Mama yangu mwenyewe aliolewa na daddy yangu kwa mara ya pili na waliishi mpaka kifo.Inategemea
 
Back
Top Bottom