Dotworld
JF-Expert Member
- Aug 10, 2011
- 4,035
- 3,784
Hao katika picha nilizoziposti mimi hapo juu ndio wabunge HALISI wa nchi ya Jamaica jinsi walivyo & spika wao akiingia bungeni.Sijaelewa uhusiano wa hizi picha na thread husika!
Kwa hiyo Mkuu BIGURUBE .. uhusiano uliopo ni kuwa alieleta hii post amefanya utani ... maana ukiangalia ndani ya bunge la Jamaica nililopost na hao "wabunge" hawapo na wala hakuna mtu wa dizaini hiyo kama alio-waposti hapa Mkuu Sexer