Kamwe serikali msijeruhusu bangi

Kamwe serikali msijeruhusu bangi

Sexer

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2014
Posts
8,575
Reaction score
8,329
ImageUploadedByJamiiForums1431955659.885816.jpg
Ndo maana waliruhusu bangi mapema!
 
Assume wasira na uvaaji wake ule wa sasa, je akipiga jani uvaaji wake bungeni ungekuwaje?!
 
Rasta men hapo kabla kikao hakijaanza wanapeana tano bora za kupuliza
 
ah hahaha haaa ah hahaaa
Kaya noma, siku ya kwanza kuvuta unaweza tembelea kicha ukidhani miguu
 
Huyu alifukuzwa bungeni kwao, akakimbilia msamvu
 

Attachments

  • 1431996546919.jpg
    1431996546919.jpg
    45.6 KB · Views: 283
Kwa kuwa ujinga ni kipaji Pia Kujitambua nayo ni karama.

Nyinyi mnadhani mko fit kumukichwa halafu chenge tu anawazungusha kama pia na kuwapiga hela kila kukicha eti mnajichekesha.

"every man thinketh his burden is the heaviest"
 
Sifa ya watumwa ilikuwa.
1. Wenye nguvu sana.
2. Wenye akili sana.

Ina maana waafrika waliobaki afrika baada ya michakato ya utumwa ni Legelege bin magoigoi na wanaulemavu wa kudumu wa ubongo.

Waafrika tunahitaji yet another evolution continuation.
 
legislature.jpg


pm-parliament-walk-640x425.jpg


p12.jpg




​
Hawa katika picha hapo juu ndio wabunge HALISI wa nchi ya Jamaica jinsi walivyo & spika wao akiingia bungeni.
.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom