Kamwe mwanaume mwenzangu usifanye

Kamwe mwanaume mwenzangu usifanye

Sababu iliyumuondoa demu wako wa zamani , ndio sababu itakayofanya akuache tena. Hizi pattern huwa zinajirudia mara kwa mara.
 
Mimi huwa na pasha kiporo tu"... lakini kumpa ile nafasi ya u- main chick ataishia kuisikia kwenye radio ya Mjumbe
 
Kuna jamaa kafanya hayo madudu leo , alikuwa na demu jamaa kipato kikakata akamkimbia akawa anagongwa na majamaa kibao tu nje,mungu si KAGUO wala Athumani ,jamaa akapata dili kapata mpunga kibao,Demu kusikia jamaa ana kisu karudisha majeshi na jamaa kama BWEGE mtozeni leo nimeona kampost demu wake FB.....Kweli hakuna mkate mgumu mbele ya chai.
hawa ndio wanaijinyonga mwisho wa siku
 
Back
Top Bottom