Kamwe mwanaume mwenzangu usifanye

Kaguo Willy

Senior Member
Nov 3, 2016
194
172
Hata siku moja usirudiane na mwanamke/demu wako wa zamani aliyekuacha kisa huna pesa.Kwani kaenda kutafuta sasa amekosa ndio maana anarudi kwako labda baada ya kuona umepata au umefanikiwa,hivyo siku akikutana na mwenye pesa kukuzid atakuacha tena.
N.B; Never go back to an old love no matter how strong it.
 
Aje tuu
 
Lkn kama ameondoka kwa kumuacha, naruhusiwa kuendelea kupushi cervix?
 
Hata siku moja usirudiane na mwanamke/demu wako wa zamani aliyekuacha kisa huna pesa.Kwani kaenda kutafuta sasa amekosa ndio maana anarudi kwako labda baada ya kuona umepata au umefanikiwa,hivyo siku akikutana na mwenye pesa kukuzid atakuacha tena.
N.B; Never go back to an old love no matter how strong it.
Kuna jamaa kafanya hayo madudu leo , alikuwa na demu jamaa kipato kikakata akamkimbia akawa anagongwa na majamaa kibao tu nje,mungu si KAGUO wala Athumani ,jamaa akapata dili kapata mpunga kibao,Demu kusikia jamaa ana kisu karudisha majeshi na jamaa kama BWEGE mtozeni leo nimeona kampost demu wake FB.....Kweli hakuna mkate mgumu mbele ya chai.
 
Duh hiyo noma aisee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom