Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,641
- 164,789
The less intelligent people are in power, and those less intelligent have option whether to take or ignore the advice or suggestions from the intelligent.
Utapata tabu sana!!We jamaa mbona unajaza sana sever ya jf! Hakukuwa hata na haja ya kuanzisha post kwa hcho ulichoandika
Tabu si unapata ww ambae kila dakika unapost tena bila sababu ya msingi! Kwani kuna ulazima wa kupost kila muda?Utapata tabu sana!!
Truth brother.The less intelligent people are in power and those less intelligent have option whether to take or ignore the advice or suggestions from the intelligent.
Ninge-post kusifia ungegonga na "like" ila bahati mbaya siko hivyo.Tabu si unapata ww ambae kila dakika unapost tena bila sababu ya msingi! Kwani kuna ulazima wa kupost kila muda?
Tatizo sio kusifia wala kuponda, tatizo ni kupost kila mara tena kwa vitu ambavyo hata haviitaji kupost mfano: hcho ulichopost sasa ivi kulikuwa na haja gani??Ninge-post kusifia ungegonga na "like" ila bahati mbaya siko hivyo.
Kwani umelazimishwa kusoma thread zake ?Tatizo sio kusifia wala kuponda, tatizo ni kupost kila mara tena kwa vitu ambavyo hata haviitaji kupost mfano: hcho ulichopost sasa ivi kulikuwa na haja gani??
We ni nani wa kupima ubora wa mada humu na kwa kigezo gani ulichonacho?Tatizo sio kusifia wala kuponda, tatizo ni kupost kila mara tena kwa vitu ambavyo hata haviitaji kupost mfano: hcho ulichopost sasa ivi kulikuwa na haja gani??
Chochote kinachowekwa jf ni lazima kisomwe, nachozungumzia mm ni kuwa kuna ulazima gani wa kupost jambo ambalo halikuhitaj post!Kwani umelazimishwa kusoma thread zake ?
Watanzania wengine bwana.
Sina ubora wa kupima mada, nakuweka tu sawa kuwa mambo mengine si lazima kupost!We ni nani wa kupima ubora wa mada humu na kwa kigezo gani ulichonacho?
Kama imekuuma vumilia.
Endelea kuhangaika ila ukweli lazima usemwe.Sina ubora wa kupima mada, nakuweka tu sawa kuwa mambo mengine si lazima kupost!
Hakuna kilichoniuma, ila kuwekana sawa ni wajibu wa kila mwenye akili timamu
Nakubaliana na ww kuwa ukweli lazima usemwe, lakini sio kila unalowaza unakimbilia jf kupost!Endelea kuhangaika ila ukweli lazima usemwe.
The less intelligent people are in power and those less intelligent have option whether to take or ignore the advice or suggestions from the intelligent.[/QUOTE
Kuwa kwenye power tu inatosha mtu huyo kuwa mwenye akili, sasa wewe unayejiona una akili lakini hazijakusaidia kuwa na power, YOU ARE RUBBISH.
Kwani lazima kujibu!.....jiwe gizaniKwani umelazimishwa kusoma thread zake ?
Watanzania wengine bwana.
ikumbukwe kwamba Matatizo hayawezi kumalizwa kwa kutumia akili zilezile zilizoyatengenezaThe less intelligent people are in power and those less intelligent have option whether to take or ignore the advice or suggestions from the intelligent.
jf ni eneo huru kwa kila mchambuzi mahiri kuleta mawazo yake , hakuna utumwa kama wa wa kwenu .Nakubaliana na ww kuwa ukweli lazima usemwe, lakini sio kila unalowaza unakimbilia jf kupost!
Mimi nimependa alichopost!Nakubaliana na ww kuwa ukweli lazima usemwe, lakini sio kila unalowaza unakimbilia jf kupost!
Sioni popote sheria za JF zimesema chochote kinachowekwa JF lazima kisomweChochote kinachowekwa jf ni lazima kisomwe, nachozungumzia mm ni kuwa kuna ulazima gani wa kupost jambo ambalo halikuhitaj post!
Hawapendi kabisa kusikia maneno kama haya.Pole yao.ikumbukwe kwamba Matatizo hayawezi kumalizwa kwa kutumia akili zilezile zilizoyatengeneza