Kamwe msitegemee maendeleo ya maana katika nchi ambayo...

Kamwe msitegemee maendeleo ya maana katika nchi ambayo...

Tatizo sio kusifia wala kuponda, tatizo ni kupost kila mara tena kwa vitu ambavyo hata haviitaji kupost mfano: hcho ulichopost sasa ivi kulikuwa na haja gani??
Mkuu asikuumize kichwa huyu kafanya uwekezaji wa kupost jamii forums.Ni moja ya wale watu walalamishi, wambea, wapashkuna kwenye jamii.Hawa huwa hata wakipata bahati kuishi ulaya au USA bado utawakuta kutwa wanalalamikia serikali za huko.Kuna mmoja mpaka Leo yupo JF Kenya..Talk anaanzisha thread kumtukana JPM anajijibu mwenyewe na bado haachi.Huoni wenzake na huyu walivyokushambulia hapa?
 
Kaburi lako lipo wazi huko nenda kajaribu kulifukia basis ntakuelewa
 
Back
Top Bottom