sio matani dear, this is serious
una historia ya zahama na hao jamaa kwani?
natamani kujua ilikuwaje hiyo jeuri na ukaitibu vipi kwa kiburi.
we kaka samahani, nakufananisha na kaka mmoja hivi anaitwa king kan yaani mnafanana kweli hadi macho sijui ndio wewe????
hahaha! Njoo nkunong'oneze
mpenzi wangu unataka kufanya nini tena?
hutaning'ata sikio kweli? Mi naogopa