Kamusi ya Tuki

Ziltan

JF-Expert Member
Aug 20, 2011
2,649
6,832
Habari mwana jf?
Ninaomba msaada wa kupata ile kamusi ya TUKI yenye English-Swahili,Swahili-English,
nasikitika ya kwangu imepotea baada ya window kublock na ndio ilikuwa msaada mkubwa kwangu wa lugha,
kama unayo naomba tuwasiliane kwa namba hizi 0755098159,au naomba nisendie kwenye Email add-peaceandlove.center@yahoo.com,
naahidi kutoa ushirikiano mzuri kwa atakayenisaidia,
Ahsante.
 
ila uache uvivu me nilikuwa natafuta sana hii kitu nkakumbuka kuitafuta humu jf nkaipata, jf ndo kila kitu
http://dl.dropbox.com/u/52629254/dotworld/TUKI_Eng-Sw-Eng_Dictionary.zip
 
Back
Top Bottom