Kamuambukiza HIV Makusudi

Kamuambukiza HIV Makusudi

Natekeleza mauaji na kupoteza ushahidi bila polisi kujua nicheck inbox kwa watu wa mikoani weka booking mapema
 
Pole sana kwa kuingia katika grid ya taifa na kuingia katika utaratibu ndio maisha katika hilo sikulaumu nyege hazina adabu
 
Pole sana usikate tamaa kuna maisha baada ya Ukimwi anza dose maisha yaendelee.
 
Kila siku huwa mnaimbiwa wimbo mnapoanzisha mahusiano jambo la kucheki afya na kujua status zenu ni la muhimu sana nyinyi mnaangaliana kwa mwonekano wa nje mkijiona mmenawili mnajihisi ni wazima matokeo yake ndio hayo,sio mbaya mwambie jamaa ajikubari na maisha yaendelee.
sio kupina HIV tu hata akili huu nao ugonjwa
 
Ishu ni huyu aliyekuwa anaijua hali yake (alikuwa anatumia dawa) kutomweka waz mwenzi wake.ni uuaji huu.
Una uhakika gani kama jamaa yako alikuwa hana. Huenda huyo dada ameviongezea tu kasi hivyo virusi.

Vv
 
Si useme tu kwamba ni wewe acha kusingizia jamaa yangu
 
Back
Top Bottom