Mkuu umeeleza vyema sana lakini vipi kuhusu uaminifu wa makampuni hayo?kila nchi inautaratibu wake katika utengenezaji wa fedha zake mfano tuzungumzie marekani coz ndo fedha yake utumika Kwa wingi duniani kule kuna taasisi inaitwa bureau of engraving and printing (BEP) hii ni taasisi inayoshugulikia uchapishaji na usambazaji wa fedha ya marekani kuna viwanda viwili ndani ya marekani kimoja kipo fort Worth TEXAS na Kingine kipo nje kidogo ya jiji Washington karibu na yaliyokuwa makao makuu ya kampuni na viwanda vya kutengeneza ndege vya Boeing Everett Washington bt now Boeing makao makuu wameanishia north riverside illinois Chicago hapo ndo sehemu zinapochapishwa fedha za marekani na ulinzi wa hapo kiwandani ni mkubwa sana mfanyakazi aruhusiwi kutoka hata na kipande cha karatasi ingawa kipindi cha nyuma kuna mfanyakazi mmoja alishawahi kuiba fedha Kwa kujiwekea POP na alikuwa mjamzito so hakuwa anapita kwenye scanner kutokana na hali yake so akawa anafanyiwa ukaguzi wa kupapaswa kumbe alikuwa anazisokomeza ndani ya POP lililokuwa kwenye mguu wake
bt duniani kuna makampuni yanayotengeneza fedha mengi yako nchi za ujerumani UK na Swiss bt yanakuwa controlled by government so kama nchi inataka kutengeneza fedha zake wanatangaza tender za makampuni yana shindana ya mshindi anapata tenda ya kutengeneza malipo mnalipa Kwa dollars coz fedha nayo ni bidhaa inauzwa kama zilivyo bidhaa nyingine
Kwa Tanzania fedha zetu tunazitengenezea Germany na kusafiliswa kwenye containers mpaka kwenye port zetu then utaratibu wa custom ufanyika kuzitoa ni kama mizigo mengine inavyotolewa bt mzigo huu ni HVC high value cargo na ulinzi wake ni mkubwa sana kumbuka duniani kinacholindwa si fedha bt ni makaratasi ya kutengeneza fedha kwani tofauti ya fedha bandia na alali ni karatasi tu bt kila kitu vinaweza kufafana
Angalau kwa kiasi nimeelewa,thankskila nchi inautaratibu wake katika utengenezaji wa fedha zake mfano tuzungumzie marekani coz ndo fedha yake utumika Kwa wingi duniani kule kuna taasisi inaitwa bureau of engraving and printing (BEP) hii ni taasisi inayoshugulikia uchapishaji na usambazaji wa fedha ya marekani kuna viwanda viwili ndani ya marekani kimoja kipo fort Worth TEXAS na Kingine kipo nje kidogo ya jiji Washington karibu na yaliyokuwa makao makuu ya kampuni na viwanda vya kutengeneza ndege vya Boeing Everett Washington bt now Boeing makao makuu wameanishia north riverside illinois Chicago hapo ndo sehemu zinapochapishwa fedha za marekani na ulinzi wa hapo kiwandani ni mkubwa sana mfanyakazi aruhusiwi kutoka hata na kipande cha karatasi ingawa kipindi cha nyuma kuna mfanyakazi mmoja alishawahi kuiba fedha Kwa kujiwekea POP na alikuwa mjamzito so hakuwa anapita kwenye scanner kutokana na hali yake so akawa anafanyiwa ukaguzi wa kupapaswa kumbe alikuwa anazisokomeza ndani ya POP lililokuwa kwenye mguu wake
bt duniani kuna makampuni yanayotengeneza fedha mengi yako nchi za ujerumani UK na Swiss bt yanakuwa controlled by government so kama nchi inataka kutengeneza fedha zake wanatangaza tender za makampuni yana shindana ya mshindi anapata tenda ya kutengeneza malipo mnalipa Kwa dollars coz fedha nayo ni bidhaa inauzwa kama zilivyo bidhaa nyingine
Kwa Tanzania fedha zetu tunazitengenezea Germany na kusafiliswa kwenye containers mpaka kwenye port zetu then utaratibu wa custom ufanyika kuzitoa ni kama mizigo mengine inavyotolewa bt mzigo huu ni HVC high value cargo na ulinzi wake ni mkubwa sana kumbuka duniani kinacholindwa si fedha bt ni makaratasi ya kutengeneza fedha kwani tofauti ya fedha bandia na alali ni karatasi tu bt kila kitu vinaweza kufafana
Mkuu kumbuka hata majangili wanatengeneza fedha na kujaribu kuziingiza kwenye mzunguko hata marekani mpaka Leo wanapambana na kuzuia fedha bandia kuingizwa katika mzunguko wao kazi nyingine ya kikosi cha secret service si kumlinda rais wa marekani peke yake pia na kuhakikisha federal reserved system FRS ya marekani inakuwa safe and secure secret service walisha wai kukamata mabilion ya fedha bandia katika godawn huko ColombiaMkuu umeeleza vyema sana lakini vipi kuhusu uaminifu wa makampuni hayo?
Hayawezi kufanya janja janja ya kutengeneza pesa za ziada na kuziingiza kwenye mzunguko kiaina?!
Najua kuna namba za fedha na ugumu kidogo wa hili ila wanaaminiwa vipi? na kwa nini kusiwe na jinsi ya kutengeneza fedha zetu hapa?
Majibu mazuri mkuu, swali ni njia gani hutumkia kujua kiasi gani cha pesa zichapishwe hususani kwa nchi inapoanza kuchapisha pesa yake, yaani chukulia tulipopata uhuru 1961 nadhani hatukuwa na pesa yetu, sasa walikadiria tu kiasi cha kuchapisha au kuna njia wanazotumia?Mkuu kumbuka hata majangili wanatengeneza fedha na kujaribu kuziingiza kwenye mzunguko hata marekani mpaka Leo wanapambana na kuzuia fedha bandia kuingizwa katika mzunguko wao kazi nyingine ya kikosi cha secret service si kumlinda rais wa marekani peke yake pia na kuhakikisha federal reserved system FRS ya marekani inakuwa safe and secure secret service walisha wai kukamata mabilion ya fedha bandia katika godawn huko Colombia
kama nilivyo sema hapo mwanzo kampuni hizi zote zinakuwa controlled by the government pia kila kampuni inakuwa na material ya utengenezaji wa zile karatasi inakuwa ni top secret au classified kwa kampuni husika na ndo kitu kinachofanya kampuni kupewa tenda kwani isingekuwa hvyo kumbuka kuwa kuna watu wanatengeneza fedha bandia pia utakiwa kujua kinacholindwa si fedha bali makaratasi ya kutengeneza fedha
kuhusu ss kutengeneza fedha zetu hapa tunaweza bt kuna vitu unatakiwa kujiuliza kama tunaweza? ?
1 je thamani ya fedha yetu nani atakuwa anaicontrol kulinganisha na fedha za wenzetu kwani tunaweza kuwa tunaprint tuuuuu mifedha mfano Zimbabwe kuna mpaka noti ya laki moja
2 je tuna technology ya kutengeneza fedha zetu ili watu wasiweze kucopy na kutengeneza zao na kuziingiza kwenye mzunguko
3 mashwala ya kifedha duniani yanakuwa controlled by IMF na WB bt kuna nchi hazipo kwenye mfumo wa kinyonyaji wa IMF mfano Iran na china tatizo lake linakuja pale unapotaka kufanya international transaction kwani bank zako zinakuwa hazipo kwenye mifumo ya kibenk zingine mfano ilifikia kipindi ukitaka biashara Iran itakulazimu uende na fedha kwani bank zao zilikuwa hazipo katika mfumo wa mabanki mengine so huwezi kufanya wire transaction
kila nchi ina kitu kinaitwa money policy act MPA huu ndo mwongozo wa central bank zote duniani ikiongozwa na WB mfumo huu ndo unawaongoza katika ku supply and monitoring currently so kuhusu ni kiasi gani wanachapisha inategemea na maitaji ya nchi husika kuna msemo wa kibiashara unasema ukitaka kukipandisha kitu thamani kifanye kuwa adimu pia ukitaka kukishusha kitu thamani basi kifanye kipatikane kwa wepesi so chaguo ni lako kuchapisha tuuuuu au kuchapisha pale inapoitajikaMajibu mazuri mkuu, swali ni njia gani hutumkia kujua kiasi gani cha pesa zichapishwe hususani kwa nchi inapoanza kuchapisha pesa yake, yaani chukulia tulipopata uhuru 1961 nadhani hatukuwa na pesa yetu, sasa walikadiria tu kiasi cha kuchapisha au kuna njia wanazotumia?
Ana maanisha kuwa pesa za wapg dil uhfdhw hko!Sidhani kama ni pesa za nchi zote duniani zinatengenezewa huko uswiss, ngoja tusubiri wajuzi wa mambo waje kutupa ufafanuzi
Sijakuelewa hiyo [emoji115] [emoji115] lugha mkuuAna maanisha kuwa pesa za wapg dil uhfdhw hko!
Subiri kwanzaSijakuelewa hiyo [emoji115] [emoji115] lugha mkuu