Yona F. Maro
R I P
- Nov 2, 2006
- 4,201
- 255
Nimesikitika sana kwa kitendo hichi na nimehuzunika sana kwa suala hili
Jamani
Leo katika mambo mengine kuna mtu aliniuliza niko wapi nikamwambia akawa anabisha katika huo ubishi akaenda kwa jamaa zake wa kampuni za simu kuchunguza akaambiwa ukweli kuhusu eneo nililokwepo huko kwenye kampuni za simu
Sasa bado nina wasi wasi na kampuni hizi za simu kuhusu utendaji wao na mamlaka waliyonayo mpaka kuamua kutoa siri za wateja wao popote walipo bila idhini ya mteja mwenyewe na bila mpango wowote ule
Nimesikitika sana kwa kitendo hichi na nimehuzunika sana kwa suala hili
YAANI PAMOJA NA KUTUMIA MAMBO YOTE HAYA WANATOA SIRI ZETU NA MAMBO YETU MENGINE KWA WATU WENGINE AMBAO HATA HAYAWAHUSU KIVIPI ? KWA MPANGO GANI ??
Nilikuwa online then mtu mmoja akanitumia im kuniuliza nipo wapi kwa muda huo sikumwambia nikamwambia niko mbali kidogo nikamtajia na eneo akaniambia subiri kidogo
baada ya muda akauliza huko anapojua yeye akaniambia mbona simu yako inaonyesha uko sehemu fulani ?
Sasa nikashangaa sana kwanini taarifa zangu amezipata mapema sana na mimi bila kujulishwa manake mimi ni mteja wa kampuni hiyo haiwezekani aulize tu apewe kiurahisi hivyo
Acha uongo kijana,tafuta shule usome hata diploma kwanza.....Nimeshapeleka email kwa watu wanaohusika na mawasiliano katika tume yao naamini watanijibu kwa sasa natafuta kuweza kuonana na mwanasheria ili kuweze kumweleza jambo hili muhimu sana naamini katika vyombo vya sheria tutaweza kupata suluhisho la tabia hii chafu
hili jambo limenishitua sana na kunisikitisha sana sijawahi kuwa na siku chungu kama leo hii katika maisha yangu
Text messages zinaweza kuwa diverged bongo, at a price.
Hubby akiwa na kimwa mama mwenye nyumba anaweza kuongea na wakuu wakawa wanamfowardia messages zote anazotuma hubby.
Nathani tunahitaji mdahalo mkubwa na wa kina kuhusu kitu hichi kwa kushirikiana na wadau wa kampuni hizi za simu
Pole Shy.
Kwa upande wa kujua sehemu uliko wanatumia tu freguency na wavelength zao na wanajua kabisa unakaaa wapi. Kule kwenye mitambo kuna geography yote ambapo mitambo yao inaweza kuruka(inaonekana katika satellite). Pia hata katika internet is not safe. Hata hapa ninapoandika ni kuwa wakitaka kuni tress watanipata thru satellite. Hata hivyo siogopi kwa kuwa nafahamu I speak out the truth na anayekerwa anitafute tu. No security katika mitandao at all!!!!