Kampuni yanunua mji kwa ajili ya Bangi

Kampuni yanunua mji kwa ajili ya Bangi

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
5,227
Reaction score
5,303
Kampuni ya American Green, imekubali kununua mji wa Nipton uliopa jimbo la California Marekani ambao utakuwa kitovu cha bidhaa zilizo na kilevi aina ya Bangi.

97206073_getty_jars.jpg


Kampuni hiyo imenunua mji huo kwa kiasi cha dola milioni 5, wenye hekari 120 za ardhi ambazo zinajumuisha maeneo yenye shule, hoteli na duka kubwa. American Green wanatarajia kuwekeza hadi kiasi cha dola milioni 2.5, ilikuufufua mji huo ambao una wakazi 20 pekee.

Mji wa Nipton ulianzishwa wakati wa pilika pilika za kutafuta dhahabu karne ya 20, mji huo upo katika mpaka wa Hifadhi ya Taifa ya Mojave.

Chanzo: Bongo5
 
Kwahiyo familia yangu yenye watu 25 ni zaidi ya mtaa huo?
 
Inabidi nitafute soko la bangi hapo. Nchi za wenzetu sijui wanafikiria nn?
Duh! Hii ni fursa kwa watu wa mara
 
Back
Top Bottom