ww acha kulalamikia tigopesa, huo mchezo unafanywa na voda kudiskarej watu kutumiana pesa toka mitandao mingine. mm nimeshafanya utafiti mfupi kwn mitandao mitatu kila unapotuma au kutumiwa pesa kwenda au kutoka mpesa kunakuwa na fingisu. wale makaburu wa voda ni wajanja sana. nikuulize swali, ulishawah kuona voda wanatoa tangazo kuwa watu watume pesa toka mitandao mingine kwenda au kutoka mpesa? ili transaction ikamilike lazma kuwe na connection nzur kati ya kampuni inayotuma na inayopokea. chunguza mkuu malalamiko mengi ni kwa watu wanaotuma// kutumiwa toka mpesa to other networks