Habari Wadau.
Kampuni ya Kitanzania ya Rasello imefanya maajabu kwa kuingia katika kinyang'anyiro cha kuwania taji la Kampuni bora inayochipukia yaani StartUp.
Ewe Mtanzania mwenzangu onyesha uzalendo kwa kuipigia kura kupitia hapa http://webitcongress.com/en/webit/2013/startupvote.html/264.
Kampuni ni ya Kitanzania na ofisi zipo Msasani.
Regards.