Mshume Kiyate
JF-Expert Member
- Feb 27, 2011
- 6,766
- 894
Mkuu kujaza kontena la nguo mpaka uwe na nguvu mkuu mimi na CBM 5 tu kijaza kontena mpaka uwe na CBM 26.Pole sana mkuu, Tafuta mbongo mwenzio mshare kontena !
ila wafanyabiashara wadogo wa kkoo mtaikumbuka sana home shopping kwa kuwainua
Watanzania,
Baada ya sakata la makontena kupamba moto leo hii nipo China nimepeleka mzigo wangu kwenye kampuni ya usafirishaji mizigo ya Silent Ocean iliyopo Guangzhou China.
Wamesema hawapokei lose cargo kwa sasa wanapokea makontena wameniambia kama unaweza kujaza kontena tuletee tutakusafirishia mpaka Dar es Salaam.
Hili ni pigo kubwa kwa wafanya biashara amabao hawana uwezo wa kujaza kontena zima nimerudi na mzigo wangu hotelini sijui cha kufanya.
Wafanya biashara wadogo wadogo tutafanyaje ili mizigo yetu ya lose cargo iweze kufika Tanzania.
Mkuu hamna mtu anayekwepa kulipa kodi mimi naelezea tatizo liliopo kwa wale watu wenye mitaji midogo hatuwezi kujaza kontena tutafanyaje.Mkipata hasara ndio mtajifunza kufunga midomo katika biashara kuna namna ya kupindisha sheria ili mambo yaende, sasa Magufuli sio mzuri sana kibiashara ngoja awapeleke kiserikali ili mjifunze biashara. Yeye hata kupinda sheria kwake ni kosa na ameshika ruler anawasubiri, ametoa grace period lakini TRA wanajinyea na wamefunga maduka ya watu.
Pole sana mkuu, Tafuta mbongo mwenzio mshare kontena !
ila wafanyabiashara wadogo wa kkoo mtaikumbuka sana home shopping kwa kuwainua
Mkuu tutarudi kwenye vikampuni uchwara vya kina Masawe tuibiane mizigo vizuri.kujaza container si mchezo,, maana 20 feet container tu ni cbm 28, sasa cbm moja mzigo mkubwa sembuse ujaze container cbm 28,,, hapo lazima tuisome namba
Mkuu tutarudi kwenye vikampuni uchwara vya kina Masawe tuibiane mizigo vizuri.
bila majungu wala nini,, katika kampuni ya clearing iliyojipanga na yenye customer service ya juu jamaa wanaongoza,,
wateja wote walikimbilia kwao sababu ya huduma zisizo na longo longo wala usumbufu,,, kina masawe hao na vikampuni uchwara ni wasumbufu hatari na wezi sana na bado kodi wadanganyifu,,
silent ocean tutaimiss sana,, na lazima tuisome namba,, maaana 90 parcent ya wajasiriamali tanzania wana import via silent ocean.
sina hamu kabisa na vikampuni uchwara
Pole mkuu wangu wenye nguvu ambao wanafunga makotena wanaendelea kupeta Silent Ocean, jamaa wameamua kuachana na lose cargo zinaleta maneno kuwa wanakwepa ushuru basi tuone hizo kampuni kama zitaweza kusafirisha lose cargo.bila majungu wala nini,, katika kampuni ya clearing iliyojipanga na yenye customer service ya juu jamaa wanaongoza,,
wateja wote walikimbilia kwao sababu ya huduma zisizo na longo longo wala usumbufu,,, kina masawe hao na vikampuni uchwara ni wasumbufu hatari na wezi sana na bado kodi wadanganyifu,,
silent ocean tutaimiss sana,, na lazima tuisome namba,, maaana 90 parcent ya wajasiriamali tanzania wana import via silent ocean.
sina hamu kabisa na vikampuni uchwara
Mbona na hawa kina Robert umewasahu...Cha kushangaza wale wakwepa kodi wa makontena 349 wakishirikiana na Azam majina yao ni akina Mwamedi, Ali, Hamisi
hakuna kampuni yoyote ya clearing Tanzania isiyokwepa kodi,, thats a fact nimekupa,,
mmuulize agent yoyote au mtu yoyote ana import mizigo mara nyingi,, narudia tea hakuna clearing agent asiyekwepa kodi..
sasa wengie kodi wanakwepa na bado wanaibia wateja mizigo na wasumbufu,,
hao ndio tunawaponda wajirekebishe wafanyabiashara tupate huduma bora kama silen ocean
Pole mkuu wangu wenye nguvu ambao wanafunga makotena wanaendelea kupeta Silent Ocean, jamaa wameamua kuachana na lose cargo zinaleta maneno kuwa wanakwepa ushuru basi tuone hizo kampuni kama zitaweza kusafirisha lose cargo.